May 18, 2024

Vituo zaidi ya 500 kutoa chanjo ya Corona Tanzania

Serikali inatarajia kuanza kutoa chanjo Corona (Uviko-19) kuanzia Agosti 3 mwaka huu katika vituo 550 katika mikoa yote ya Tanzania Bara kwa makundi maalum yaliyopewa kipaumbele kwa sasa wakiwemo watumishi wa sekta ya afya.

Bosi mpya wa Tanroads huyu hapa

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Rogatus Mativila kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) akichukua nafasi ya marehemu Mhandisi Patrick Mfugale.