Fanya haya kukabiliana na msongo wa mawazo wakati wa janga la corona
Epuka unywaji wa pombe uliopitiliza, kula mlo kamili, fanya mazoezi na pata muda kupumzika
Dar es Salaam. Kama unasumbuliwa na msongo wa mawazo katika kipindi hiki cha janga la Corona, fahamu hauko peke yako.
Fanya haya ili kutatua changamoto hiyoili kulinda afya ya kimwili na akili.