January 23, 2026

Afrika ilivyopiga hatua utoaji wa chanjo dhidi ya COVID-19

Asilimia 88 ya nchi za Afrika zinatumia chanjo inayotolewa kupitia programu ya Umoja wa Mataifa ya COVAX.