October 6, 2024

Kujikinga na COVId-19 shuleni fanya haya

Walimu na wanafunzi waelimishwe kwa uwazi kuhusu dalili na kinga ya COVID-19. Pia umuhimu wa kunawa mikono, kuvaa barakoa na kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima

Dar es Salaam. Walimu na wanafunzi waelimishwe kwa uwazi kuhusu dalili na kinga ya COVID-19. Pia umuhimu wa kunawa mikono, kuvaa barakoa na kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima.