October 6, 2024

Zingatia haya unapofanya manunuzi sikukuu ya Pasaka

Ni pamoja na kuwa makini na fedha unayoitumia na kufahamu vitu ambavyo familia yako inapenda.

  • Ni pamoja na kuwa makini na fedha unayoitumia na kufaham vitu ambavyo familia yako inapenda.

Dar es Salaam. Ni msimu mwingine wa sikukuu na kama ilivyo kawaida ya familia za Kitanzania, kufanya mahemezi ya vyakula, mavazi na vinywaji ni muhimu katika sikukuu hizi.

Hata hivyo, katika kufanya manunuzi hayo, baadhi hujikuta wakitumia fedha nyingi na hivyo kubaki na siku zaidi ya 20 wakiwa hawana pesa kama kipato chao kinategemea mwisho wa mwezi.

Ili kuepukana na changamoto hiyo, tazama video hii kujifunza zaidi na usiache kumtumia mwenzio ili wewe na umpendaye mbaki salama kiuchumi.