Jinsi ya kuukabili unyanyapaa wa COVID-19
Ni kuwa na taarifa sahihi za COVID-19 na kuwasaidia wenye ugonjwa huo kwa kuwapatia vifaa vya kujikinga na kuwapa moyo kuwa watashinda.
![](https://cms.nukta.co.tz/wp-content/uploads/2021/03/b2b1004fe1705f10e70f296918f0f029.jpg)
Dar es Salaam. Unataka kuushinda unyanyapaa wa ugonjwa wa COVID-19? Ni kuwa na taarifa sahihi za COVID-19 na kuwasaidia wenye ugonjwa huo kwa kuwapatia vifaa vya kujikinga na kuwapa moyo kuwa watashinda.