October 6, 2024

Mamilioni ya dozi za chanjo ya Corona yatolewa duniani

Zaidi ya dozi milioni 462.8 za chanjo dhidi ya Corona zimeshatolewa ulimwenguni kwa watu mbalimbali.

Dar es Salaam. Licha ya baadhi ya mataifa kuendelea kujipa muda wa kuzichunguza chanjo za Covid-19 kabla ya kutoa kwa watu wake, takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO) zinaonyesha mamilioni ya dozi za chanjo ya ugonjwa huo yameshatolewa ulimwenguni.