October 6, 2024

Jinsi ya kuepuka unyanyapaa wakati wa janga la Corona

Ni kutokuwashutumu walioambukizwa ugonjwa huo bali kuwahimiza kuchukua tahadhari na kuwaaminisha kuwa watapona.

Dar es Salaam. Unawezaje kupunguza au kuondoa unyanyapaa kwa wagonjwa wa COVID-19. Ni kutokuwashutumu walioambukizwa ugonjwa huo bali kuwahimiza kuchukua tahadhari na kuwaaminisha kuwa watapona.