October 6, 2024

Jinsi ya kujikinga na Corona

Njia mojawapo ya kujikinga na magonjwa yanayoambukiza ikiwemo Corona ni kunawa mikono mara kwa mara kwa maji tiririka na sabuni.

Dar es Salaam. Njia mojawapo ya kujikinga na magonjwa yanayoambukiza ikiwemo Corona ni kunawa mikono mara kwa mara kwa maji tiririka na sabuni