October 7, 2024

Unataka kununua bidhaa kwa ajili ya kujikinga na Corona? Zingatia haya

Nipamoja na kuwa na taarifa sahihi juu ya bidhaa inayofaa kukukinga dhidi ya Corona.

Dar es Salaam. Siyo jambo geni, wapo wafanyabiashara wanaoona fursa ndani ya ugonjwa wa Corona.

Wapo ambao wametengeneza vitakasa mikono, sabuni za kunawia mikono na hata barakoa ili kufanya biashara katika kipindi cha mlipuko wa ugonjwa wa homa ya mapafu ili wajiingizie kipato.

Ili kuwa makini na kutokuishia kununua bidhaa ambazo hazikidhi vigezo, unaweza kuzingatia dondoo hizi: