COVID-19 inavyotishia maisha ya wahudumu wa afya duniani 3 years ago Daniel Samson Zaidi ya wahudumu wa afya 7,000 wamefariki dunia wakati wakitoa huduma kwa wagonjwa wa Corona.