October 7, 2024

Walimu wanavyoweza kusaidia wanafunzi kuchukua tahadhari dhidi ya Corona

Ni kwa kutunga nyimbo za kuelimisha juu ya Corona pamoja na kuwa mfano wa kuigwa.

  • Ni kwa kutunga nyimbo za kuelimisha juu ya Corona pamoja na kuwa mfano wa kuigwa.

Dar es Salaam. Viongozi mbalimbali na mashirika ya kiafya yameendelea kuwaasa watu kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Corona kwa kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni, kutumia vitakasa mikono na kuvaa barakoa.

Hata hivyo, huenda ikawa ni ngumu kwa baadhi ya wanafunzi hasa ambao bado ni wadogo kuendana na kasi ya mabadiliko yanayofanyika dhidi ya ugonjwa wa corona.

Yafuatayo ni kati ya mambo ambayo walimu wanaweza kuyafanya ili kuwasaidia wanafunzi hasa wadogo kujikinga na ugonjwa huo wa homa ya mapafu.