October 7, 2024

Haya ndiyo maendeleo ya utengenezaji wa chanjo dhidi ya Corona duniani

Zaidi ya chanjo 200 zinafanyiwa majaribio ya kimaabara ili kupambana na Corona.

Dar es Salaam. Kama bado unajiuliza maendeleo ya kutengeneza chanjo dhidi ya ugonjwa wa Corona yamefikia wapi? Basi hii ndiyo hali halisi kwa sasa.