October 8, 2024

Njia za kupunguza matumizi yasiyo ya lazima ya intaneti kwenye simu yako

Njia mojawapo ya kudhibiti matumizi makubwa ya intaneti ni kuweka kikomo cha matumizi yako ya mwezi kwenye simu yako.

Dar es Salaam. Kuna njia mbalimbali ambazo zinaweza kupunguza kiwango cha matumizi yasiyo ya lazima ya intaneti na kuokoa kiwango cha fedha. Yafuatayo yanaweza kusaidia jambo hilo hasa kipindi ambacho vyuma vimekaza: