October 7, 2024

Halmashauri zabeba mzigo wa makusanyo ya mapato Tamisemi

Asilimia 95 ya makusanyo ya Ofisi ya Rais-Tamisemi mwaka 2019/2020 yanatarajiwa kukusanywa kutoka katika halmashauri zote nchini ikiwa ni kibarua kigumu kwa viongozi wa mamlaka hizo.