July 1, 2024

Afya njema ni silaha ya kuishinda COVID-19

Ukitaka kujiweka salama zaidi dhidi ya Corona epuka kunywa pombe, kuvuta sigara na kula mlo kamili kila siku wewe na uwapendao.

Dar es Salaam. Ukitaka kujiweka salama zaidi dhidi ya Corona epuka kunywa pombe, kuvuta sigara na kula mlo kamili kila siku wewe na uwapendao.