Ukosefu wa taarifa unavyowanyima fursa wabunifu wa teknolojia
Maboresho ya mfumo wa utoaji taarifa za fursa kiteknolojia ni muhimu kuwafikia wabunifu wengi
Maboresho ya mfumo wa utoaji taarifa za fursa kiteknolojia ni muhimu kuwafikia wabunifu wengi
Imebainika kuwa mfumo wa manunuzi uliopo sasa unakabiliwa na changamoto mbalimbali za upatikanaji wa taarifa.
Inakusudia kuboresha mtandao wa mawasiliano ili kuongeza idadi ya wateja na kuchangia katika ukuaji wa uchumi wa Taifa.
Zinaongeza mvuto kama pambo linalopendezesha nyumba na hazihitaji matengenezo ya mara kwa mara.
Ni wale ambao mikoa na wilaya zao zimekutwa na miradi yenye dosari wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka huu.
Fursa zinazowazunguka wanawake vijijini ni pamoja na kugombea nafasi za uongozi katika ngazi ya jamii
Wasichana wanahitaji vitu vikubwa vinne ambavyo ni pesa, elimu, afya nzuri na nafasi.
Uamuzi huo unatokana na kamati ndogo aliyounda kuchunguza mwenendo na utendaji wa soko hilo na kubaini changamoto kuu za sheria, muundo ya uendeshaji wa soko, mfumo wa mapato ya uvuvi na mazao ya uvuvi.
Bodaboda, daladala wafurahia foleni kupungua huku wafanyabiashara wa bidhaa ndogondogo wakilia kukosekana kwa wateja katika eneo hilo kwa sasa.
Usafiri huo unaratibiwa mtandaoni unakusudia kupunguza gharama za usafiri na kuwaongezea abiria usalama.
Mashine hizo zisipotumiwa vizuri zinaweza kuwa chanzo cha kusambaa kwa bakteria wa magonjwa mbalimbali.
Mtu aliyepatwa na janga kama hilo hupata hofu, kutengwa, kukosa usalama, upweke, sonona, kusalitiwa, kujilaumu, kushindwa kupata umakini na utulivu wa kufikiri.
Hatua huyo imelenga kuhakikisha wanahabari wanatoa elimu kwa mkulima namna ya kufanya kilimo cha kisasa na chenye tija kitakachoongeza kipato.
Tiba shufaa ni utaratibu wa matibabu unaoboresha ubora wa maisha ya mgonjwa na kuipunguzia familia gharama za kuuguza magonjwa ya muda mrefu.
Lengo la jukwaa hilo ni kutafuta njia mbadala za kukabiliana na tatizo la lishe katika nchi za Afrika.
Ni chombo muhimu katika kuibua mbinu mpya za kukabiliana na ushindani wa soko na huduma za kifedha.
Maboresho hayo kuwafaidisha zaidi wanasiasa na wanamuziki kuliko watu wenye wafuasi wachache.
Hali hiyo huwa na athari katika utendaji wa ubongo wa binadamu ambapo inaweza kumpunguzia uwezo wake wa kibunifu na kufikiri
Simu hizo za iPhone ni mapinduzi ya teknolojia ya kisasa yasiyohitaji kadi tambulishi (SIM Card).
Mteja ataweza kununua programu (Apps) kwa kutumia salio lake la simu na hatalazimika kwenda benki tena.