LHRC: Ubaguzi bado ni changamoto sekta ya biashara
Ripoti mpya ya LHRC inaonyesha kuwa ubaguzi wa kijinsia umekithiri katika sekta ya biashara nchini.
Ripoti mpya ya LHRC inaonyesha kuwa ubaguzi wa kijinsia umekithiri katika sekta ya biashara nchini.
Mjasiriamali mwenye nia ya kupeleka ubunifu na ushonaji wa nguo nje ya mipaka ya Tanzania.
Wadau wasema ni wakati wa vyama vya wafanyakazi kutetea haki za wanachama wao.
Ni mahali pekee nje kidogo ya Jiji la Mbeya ambapo utaona wanyamapori na kutembea katika korongo.
Akanusha uvumi wa kufungiwa kwa visimbuzi vya Azam, Zuku na DSTV.
Zaidi ya watu milioni 300 wameathirika na sonona duniani huku ikisababisha karibu watu 800,000 duniani kujiua kila mwaka.
Wanawake wanaathirika zaidi kuliko wanaume
Vifaa hivyo hupiga king’ora ndani ya basi pale dereva anapozidisha mwendokasi wa kilomita 85 kwa sasa.
Watu wengi wanawachukia watu wanaojisifia kwa kila jambo.
Fikiria zaidi ya ulipo upate kufika utakapo. Hakuna njia ya mkato kwenye dunia inayohitaji ubunifu ili kuendelea kuwepo.
Kiwango hicho ambacho ni sawa na zaidi ya mara moja na nusu ya bajeti ya Serikali ya mwaka 2018/19 ya Sh32.5 trilioni, inatarajia kuajiri watafiti 1,000 ulimwenguni kote.
Unatoa fursa lukuki zinazotegemea umeme kwa watu waliopo mbali na gridi ya Taifa.
Mkaa mbadala unaokoa kiasi kikubwa cha matumizi ya pesa kuliko mkaa wa kawaida.
Rais Magufuli naye aingia katika 10 bora ya watu wenye wafuasi wengi Twitter miaka mitatu tangu ajiunge kwenye mtandao huo.
Wanatamani Serikali na wamiliki wa daladala wangeanzisha utaratibu wa kutolipisha nauli kwa walimu kama ilivyo Dar.
Darasa moja la Shule ya Msingi Inyala mkoani Mbeya linabeba wastani wa wanafunzi 193 mara nne zaidi ya kiwango kinachopendekezwa.
Ndani ya miaka 10 iliyopita idadi ya vyuo vikuu imeongezeka kwa asilimia 51 lakini ubora umekuwa kikwazo kikubwa cha ukuaji.
Kozi 75 zafungiwa udahili mwaka wa masomo 2017/2018 kutokana na vyuo kutokidhi vigezo.
Walimu waomba Serikali ianzishe mtaala maalum kwa watoto wenye uziwi ili waweze kupata elimu bora kama wengine.
Ubunifu na kujiamini ni nguzo muhimu zitakazokusaidia ufanikiwe zaidi katika biashara.
Idadi ya Wanawake wanaosoma elimu ya juu bado ni ndogo ukilinganisha na wanaume.