Fanya haya kukabiliana na msongo wa mawazo wakati wa janga la corona
Epuka unywaji wa pombe uliopitiliza, kula mlo kamili, fanya mazoezi na pata muda kupumzika
Epuka unywaji wa pombe uliopitiliza, kula mlo kamili, fanya mazoezi na pata muda kupumzika
Shirika la Kazi la Umoja wa Mataifa (ILO) limesema kuwa wanawake wachache kati ya wengi waliopoteza ajira kutokana na athari za janga la Corona (Uviko-19) watakaoweza kupata kazi nyingine ikilinganishwa na wanaume.
Ni njia rahisi ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Uviko-19 hasa kwenye mikusanyiko ya watu.
Ni uraghabishi ulioshawishi watu kuwabana viongozi wao vijijini ili wananchi wapate maendeleo.
Ni wakazi wa Bunigonzi wilayani Mbogwe ambao wamekamilisha ujenzi wa boma la kituo cha afya huku wakisubiri Serikali ikamilishe hatua iliyobaki ili kianze kutoa huduma kwa wananchi.
Huenda wanafunzi walioanza kusoma katika Shule ya Sekondari ya Isebya mkoani Geita wakasubiri zaidi kuboreshewa huduma za elimu baada ya kuandamwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ukosefu wa ruzuku ya Serikali.
Ni wakazi wa Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita wanajenga madarasa katika Shule ya Sekondari Masumbwe kumaliza msongamano wa wanafunzi madarasani.
Ni wakazi wa Wilaya ya Mbogwe ambao wamepata mwamko wa kuhoji, kufuatilia kwa ukaribu mapato ya miradi ya maendeleo na kuchagua viongozi wenye weledi na uadilifu.
Ni wanawake wa Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita waliokataa kuwa nyuma kama mkia wa kondoo. Wanakamatia kila fursa ya kuwatoa kimaendeleo.
Ni wakazi wa kata ya Bunigonzi wilayani Mbogwe ambao wamejenga shule ya sekondari hadi usawa wa lenta wanaisubiri Serikali imalizie sehemu iliyobaki ili ianze kufanya kazi.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA) Dkt. Charles Msonde amesema ubora wa ufaulu umezidi kuimarika kutoka asilimia 97.74 mwaka 2020 hadi asilimia 97.93 mwaka huu.
Uvaaji barakoa wakati huu wa janga la Corona unasaidia kupunguza hatari ya kupata maambukizi ya ugonjwa huo kwa asilimia 80.
Ni boma la zahanati ya Isebya iliyopo kata ya Isebya mkoani humu ambalo limejengwa kwa nguvu za wananchi wanaosubiri Serikali ikamilishe ili ianze kufanya kazi.
Bajeti ya kwa ajili ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu kwa mwaka 2021/22 imeongezeka kwa asilimia 18.5 hadi kufikia Sh570 bilioni.
Ni kwa kutoa elimu na kujenga miundombinu rafiki kwa watoto ikiwemo njia za watembea kwa miguu karibu na shule ili kuwakinga na ajali ambazo zimekuwa zikikatisha ndoto zao.
Ili chanjo ifanye kazi kwa mtu aliyepata, ni lazima ukamilishe dozi zote zinazopendekezwa na wataalam wa afya.
Sababu kubwa ni kuwalinda wanaokuzunguka.
Hadi kufikia Juni 21 mwaka huu, zaidi ya dozi milioni 2.5 za chanjo za Corona zimetolewa katika maeneo mbalimbali duniani kukabiliana na janga hilo.
Mapato yatokanayo na sekta ya utalii Tanzania yameshuka zaidi ya mara tatu ndani ya mwaka mmoja kutokana na kupungua kwa idadi ya watalii wa kimataifa kulikosababishwa na janga la Corona.
Kwa mujibu wa TCRA, hadi kufikia mwaka 2020, ving’amuzi vinavyofanya kazi ambavyo vinatumiwa na Watanzania vimefikia milioni 2.8 ambapo zaidi ya nusu wanatumia king’amuzi cha Startimes.