Majaliwa awaonya wafanyabiashara wanaopandisha bei ya sukari
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaonya wafanyabiashara wanaopandisha bei ya sukari akieleza kuwa hakuna upungufu wa bidhaa hiyo nchini Tanzania.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaonya wafanyabiashara wanaopandisha bei ya sukari akieleza kuwa hakuna upungufu wa bidhaa hiyo nchini Tanzania.
Ripoti ya utafiti wa masuala ya kifedha ya Finscope ya mwaka 2017 inabainisha kuwa watu wanne kati 10 (asilimia 41) wanategemea shughuli za kilimo ikiwemo uvugaji, uvuvi na kulima kama chanzo cha mapato nchini Tanzania.
Ugonjwa huo umeingia katika nchi zote za jumuiya hiyo huku Kenya ikiongoza kwa wagonjwa wengi wanaofikia 281.
Umoja wa Wakurugenzi Watendaji wa kampuni za sekta binafsi Afrika (The Africa List) umetangaza kuongeza wanachama wapya 34 kutoka Tanzania ikiwemo Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Sahara Ventures, Jumanne Mtambalike ili kutoa ujuzi wa kuendesha biashara n
Bei ya juu na chini ya maharage inayotumika leo katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania imeendelea kubaki katika kiwango kile kile kilichorekodiwa jumatano Aprili 8, 2020.
Wagonjwa wote watatu wapya ni vijana, Watanzania na hawana historia ya kusafiri nje ya nchi siku za hivi karibuni.
Huenda elimu ya juu nchini Tanzania ikachukua mkondo mpya, baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere kubaini kuwa udahili wa wanafunzi wanaosoma shahada za uzamili katika baadhi ya vyuo vikuu vya umma unashuka kila mwaka
ripoti yake imebaini kuwa taasisi hizo zimeshindwa kufuatilia ufanisi wa elimu waliyoitoa kwa wahitimu wake waliopo kazini.
Huenda Watanzania waliopata namba za utambulisho wa Taifa (NIN) wakaendelea kusubiri kwa muda mrefu kupata vitambulisho vya Taifa baada ya ripoti ya CAG kubaini kasi ndogo ya uchapishaji inayochagizwa na changamoto za mfumo na vitendea kazi.
Umeshuka hadi kufikia asilimia 3.4 kwa mwaka ulioishia Machi 2020 kutoka asilimia 3.7 iliyorekodiwa Februari mwaka huu, ikichagizwa na kupungua kwa gharama za bidhaa za vyakula na zisizo za vyakula.
Ubalozi wa Tanzania nchini China umewataka wanafunzi wanaosoma katika jiji la Wuhan nchini humo kuwasiliana na vyuo vyao na kufuatilia taratibu za kupata visa kabla ya kupanga safari ya kurudi nyumbani Tanzania.
Baadhi ya mambo yatakayokusaidia ni kununua bidhaa mtandaoni na kukaa umbali wa mita moja na muuzaji.
ni miongoni mwa nchi tisa za Mashariki na Pembe ya Afrika zitakazofaidika na ruzuku ya dharura ya dola za Marekani 1.5 milioni uliotolewa na Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) kukabiliana na nzige ambao wanatishia maisha ya watu na uhaba wa chakula katika en
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema thamani ya mauzo ya bidhaa nje ya nchi katika mwaka ulioishia Januari 2020 imeongezeka kwa asilimia 16.6 yakichagizwa zaidi na kupaa kwa bei ya bidhaa katika soko la dunia na kuongezeka kwa kiwango kilichouzwa nje.
Bei ya jumla ya gunia la kilo 100 la mahindi kwa mwezi Januari 2020 ilikuwa Sh92,795.8 ikiwa imepanda kutoka Sh49,011 iliyorekodiwa Januari 2019.
Wakati mikopo inayoelekezwa kwa sekta binafsi ikiongezeka kwa asilimia 9.1 ndani ya mwaka mmoja uliopita, sehemu kubwa ya mikopo hiyo imekuwa ikiwanufaisha zaidi watu binafsi ambao wanamiliki shughuli mbalimbali za uzalishaji ikiwemo biashara.
Baadhi ya hoteli maarufu na ambazo zimekuwa zikitumiwa na watu wengi nchini Tanzania zimeanza kufungwa ikiwa ni hatua ya kukabiliana na ugonjwa wa virusi vya Corona ambavyo vinaitesa dunia kwa sasa.
Baraza la Biashara la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EABC) limetoa mapendekezo 15 yatakayosaidia kukabiliana na ugonjwa virusi vya Corona katika jumuiya hiyo ikiwemo kuhakikisha mipaka haifungwi ili kufanikisha usafirishaji wa bidhaa na huduma unaendelea kam
Rais John Magufuli amesema shughuli za Serikali, Bunge zinaendelea kama kawaida na Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kama ulivyopangwa utafanyika licha ya kuwepo mlipuko waugonjwa wa virusi vya Corona.
Kampuni hiyo inayowasaidia wananchi kubaini bidhaa feki kwa kutumia simu za mkononi imetajwa kuwa miongoni mwa kampuni 10 za teknolojia zenye ubunifu wa kiwango cha juu barani Afrika kwa mwaka 2020.