Bei ya petroli, dizeli yashuka Dar
Wateja wa rejareja wataokoa Sh22 kwa petroli, Sh42 kwa dizeli na Sh2 kwa mafuta ya taa kwa kila lita moja watakayonunua ikilinganishwa na bei ya mwezi uliopita.
Wateja wa rejareja wataokoa Sh22 kwa petroli, Sh42 kwa dizeli na Sh2 kwa mafuta ya taa kwa kila lita moja watakayonunua ikilinganishwa na bei ya mwezi uliopita.
Ni Christina Mwanga mkazi wa kijiji cha Olevolos kilichopo kata ya Kimnyaki nje kidogo ya jiji la Arusha, Tanzania ambaye anatumia nishati ya biogesi (Biogas) kwa ajili ya kupikia.
Yasema baadhi ya matangazo hayo siyo ya kweli yanalenga kuwanufaisha wahalifu kibiashara.
Thamani ya mauzo ya wiki nzima imeshuka kwa takriban asilimia tatu hadi Sh18.7 bilioni kutoka Sh19.3 milioni iliyorekodiwa juma lililopita.
Wakulima wanaolima ngano Tanzania wanapishana na fursa ya mabilioni baada ya Serikali kueleza kuwa kiwango wanachozalisha nchini kimeshindwa kukidhi mahitaji ya ndani ya soko na kusababisha sehemu kubwa ya shehena ya chakula hicho iagizwe kutoka nje ya nch
Hatua ya Serikali kusitisha matumizi ya pasi za kusafiria za zamani mwezi uliopita imezidi kuongeza hamasa kwa Watanzania kutafuta nyaraka hizo na kufanya idadi ya wamiliki wa pasi mpya kufikia zaidi ya 300,000.
Uzalishaji wa mazao ya ufuta umeshuka kwa zaidi ya mara nne hadi kufikia tani milioni 1.6 mwaka 2018 ukichagizwa na ukosefu wa soko la uhakika na bei ya kuridhisha kwa mazao hayo ambayo yamekuwa yakitumika katika uzalishaji mafuta ya kula nchini.
Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya biashara ya Mkombozi imteua Respige Kimati kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya kuanzia Januari 18, 2020, huku akiwa na kibarua cha kuboresha mfumo wa uendeshaji wa benki hiyo.
Serikali imesema imeamua kulipa kipaumbele zao la michikichi kwa lengo la kumaliza tatizo la upatikanaji wa mafuta ya kula nchini ili kukidhi mahitaji ya ndani.
Vijana waliowekeza na wanaotaka kuwekeza katika ufugaji wa samaki Tanzania wametakiwa kuchukua tahadhari na kutumia vizuri ujio wa mvua za masika kuongeza uzalishaji utakaowasaidia kuongeza fursa za ajira na kipato cha kuendesha maisha yao.
Takwimu zinaonyesha kuwa hadi kufikia Desemba 2019 watumiaji wa huduma za posta walikuwa 346,684 kutoka 353,742 wa mwaka juzi.
Idadi ya watumiaji wa huduma za kifedha kupitia simu za mkononi inazidi kupaa nchini Tanzania baada ya takwimu mpya za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kubainisha ongezeko la watumiaji milioni 2.5 ndani ya mwaka mmoja.
Mikopo kwa sekta binafsi imeongezeka kwa asilimia 11.1 katika mwaka ulioishia Desemba 2019 ikilinganishwa na asilimia 4.9 katika kipindi kama hicho mwaka 2018.
Watumiaji wa intaneti Tanzania wameongezeka kwa asilimia 11.5 hadi kufikia milioni 25.8 mwaka 2019 kutoka milioni 23.1 waliorekodiwa mwaka 2018, jambo linalofungua milango kwa Watanzania kufaidika na fursa za mtandaoni ikiwemo kufanya biashara na kupata uj
Serikali ya Tanzania imesema inamuhoji mkazi wa mkoa wa Arusha, Mosses Mollel anayejiita Nabii namba saba ili athibitishe madai yake kuwa ana uwezo wa kutibu virusi vya ugonjwa wa #Corona ambavyo mpaka sasa vimeua watu zaidi ya 1,300 ulimwenguni.
Imewataka wananchi kujiandaa na kutumia vema mvua za msimu za masika zinazotarajia kuanza hivi karibuni huku ikitahadharisha kutokea kwa vipindi vifupi vya upepo mkali katika pwani ya bahari ya Hindi na kuathiri shughuli za uvuvi na utalii.
Mfundishe kuweka akiba, mpe kazi ambayo utamlipa kiasi fulani cha pesa na wakati mwingine mkopeshe fedha ili baadaye akulipe.
Umoja wa Mataifa (UN) umesema wadudu hao wanaweza kuzingira eneo lenye ukubwa wa kilomita moja na kula kwa siku moja chakula kinachowatosha watu 35,000 na kusababisha uhaba wa chakula.
Kwa mujibu takwimu za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) za mwaka 2018, idadi ya watumiaji wa intaneti imefikia milioni 23.1 mwaka juzi kutoka watumiaji wapatao milioni 9.3 waliokuwepo mwaka 2013
Mwanasiasa mkongwe, Stephen Wasira amesema hoja ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kuishawishi Benki ya Dunia kuzuia mkopo wa dola za Marekani milioni 500 kwa Tanzania, siyo jibu pekee la kutatua tatizo la wasichana wanaopata mimba wakiwa shuleni.