Mada ya “kipi bora, kujiajiri ama kuajiriwa” yateka mijadala Twitter
Wanaotaka kujiajiri watakiwa kutafuta maarifa na ujuzi kwanza. Waliojiajiri watakiwa kuwaheshimu walioajiriwa kwa sababu siyo watu wote wanaweza kuwa wajasiriamali.
Wanaotaka kujiajiri watakiwa kutafuta maarifa na ujuzi kwanza. Waliojiajiri watakiwa kuwaheshimu walioajiriwa kwa sababu siyo watu wote wanaweza kuwa wajasiriamali.
Serikali yasema idadi hiyo ni sawa na asilimia 71.6 za laini zote za simu milioni 43.9 zilizokuwepo hadi Februari 2, 2020.
Licha ya umuhimu wa vyama vya kutetea maslahi ya wafanyakazi, bado mwitikio wa wafanyakazi vijana kujiunga katika vyama hivyo ni mdogo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ukosefu wa hamasa na elimu.
Rais John Magufuli amesema Serikali inafanya mazungumzo na nchi mbalimbali ili kuwarejesha katika mataifa yao wafungwa wa kigeni wakiwemo Waethiopia 1,415 ili kupunguza idadi ya wafungwa waliopo katika magereza ya Tanzania.
Ewura imetangaza leo bei mpya kikomo za mafuta za mwezi Februari 2020 na kuonyesha kuwa bei za rejareja za petroli iliyoingizwa kupitia Bandari ya Dar es Salaam imeongezeka kwa asilimia 0.96.
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), imemteua shabiki wa timu ya Taifa Stars, Nick Reynald a.k.a Bongozozo kuwa balozi wa hiari wa utalii nchini Uingereza ili kuongeza idadi ya watalii wanaotoka katika nchi hiyo ya Ulaya.
Kwa mujimu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), hadi kufikia Februari 2, 2020, watu zaidi ya 14,500 wameambukizwa virusi vya Corona na tayari vimesambaa kwenye mataifa 24
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi, Mwita Waitara amesema hatua ya Benki ya Dunia (WB) kusitisha kwa muda kutoa mkopo wa masharti nafuu wa Dola 500 milioni za Kimarekani kwa Tanzania, kumeathiri mpango wa Serikali wa kumaliza tatizo la upungufu wa maabara
Ni mafunzo maalum yaliyoandaliwa na kampuni ya Nukta Africa kuziwezesha asasi za kiraia kutumia zana na njia za kidijitali kukabiliana na habari za uzushi.
Bilionea wa Tanzania, Mohammed Dewji amesema moja ya biashara zake zinazomtesa zaidi na kuwekeza fedha nyingi ni ya kilimo cha chai, jambo linalomfanya aanze kufikiria kuwekeza katika mazao mengine ikiwemo maparachichi.
Wekeza katika ujenzi wa majengo ya ofisi, nyumba za kuishi watu au biashara inayoweza kukuingizia kipato cha uhakika.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza wananchi wenye namba ya utambulisho wa Taifa (NIN) waruhusiwe kupata huduma zote zinazohitaji kitambulisho cha Taifa wakati Serikali ikishughulikia upatikanaji wa haraka wa vitambulisho vyao kutoka Mamlaka ya Vitambuli
Serikali ya Tanzania imeeleza kuwa itaongeza zaidi viwango vya ushuru na kodi vinavyotumika sasa kwa baadhi ya bidhaa zinazoingizwa nchini ili kulinda viwanda vya ndani na kuwawezesha wafanyabiashara kuuza bidhaa hizo ndani na nje ya nchi.
Uingereza imetoa idhini ya ushiriki mdogo wa kampuni ya China ya Huawei katika ujenzi wa miundombinu ya mtandao wa intaneti wa 5G, jambo linaloweza kudhorotesha mahusiano yake ya kibiashara na usalama na nchi ya Marekani.
Katika kuhakikisha inapunguza idadi ya watoto wa mtaani, Serikali imesema inatekeleza mpango wa kuunganisha watoto na familia zao na kuwatafutia malezi mbadala wale wasio na familia.
Yasema hakuna bidhaa kutoka Zanzibar zilizozuiliwa kuingia Tanzania bara bali kinachojitokeza ni changamoto za kisheria na kikanuni ambazo zina utaratibu wake wa kuzishughulikia.
Tenga muda wa kujifunza na kupata taarifa ya kinachoendelea katika sekta ya ajira. Tambua soko linahitaji nini kwa wakati huu ukilinganisha na ulichonacho.
Programu za ujuzi, ufundi stadi zinawaweza kupunguza tatizo la ajira nchini.
Rais John Magufuli ameagiza makontena ya mchanga wa madini ya dhahabu maarufu kama makinikia yaliyokamatwa katika Bandari ya Dar es Salaam mwaka 2017 yauzwe na fedha zitakazopatikana zitakuwa za kampuni ya Twiga Minerals Corporation Limited.
Wakati idadi ya watalii wanaotembelea Tanzania ikiongezeka, idadi ya watalii ilimwenguni imepungua kutoka asilimia 6 mwaka 2018 hadi asilimia 4 mwaka jana, ikichagizwa na kudidimia kwa uchumi wa dunia.
Kitabu cha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2018 ki