Vijana wageni vinara wa kuitembelea Tanzania
Kundi la vijana wenye umri wa miaka kati ya 25 hadi 44 ndiyo wanaongoza kwa kuitembelea Tanzania huku wengi wao wakitokea Marekani na Kenya.
Kundi la vijana wenye umri wa miaka kati ya 25 hadi 44 ndiyo wanaongoza kwa kuitembelea Tanzania huku wengi wao wakitokea Marekani na Kenya.
Licha ya kuwa magari yanayotumia gesi asilia yanaokoa uharibifu wa mazingira na gharama za maisga kwa kupunguza gharama za mafuta mafuta, bado muitikio wa Watanzania kutumia magari hayo ni mdogo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewaagiza wadau wa masuala ya utalii nchini wafanye mapitio ya gharama za huduma wanazowatoza watalii na amesisitiza kuwa si sahihi kuwatoza wazawa kwa kutumia fedha za kigeni au gharama sawa na wageni.
Ni Vodacom Tanzania unaotoza Sh205 kwa MB 1 ya intaneti ukifuatiwa na Zantel kwa wateja wanaotumia intaneti nje ya vifurushi kabla ya kodi.
Njia hizo ni pamoja na kutunza pesa nyumbani, benki, kwa njia ya simu za mkoni au kununua hisa.
Wamiliki wa vyombo vya moto wanaweza kupunguza gharama za uendeshaji wa vyombo hivyo kwa takriban asilimia 50 ikiwa watageukia matumizi ya gesi asilia kuendesha magari yao na kuchangia katika utunzaji wa mazingira.
Waliofunga mifumo ya gesi asilia kwenye magari yao wamefanikiwa kupunguza gharama za mafuta wanazotumia kila siku na kuwaletea ahueni ya maisha.
Matumizi ya simu katika kaya yamefikia asilimia 78.1 hadi mwaka 2017 ikiwa ni mara tatu zaidi ya matumizi ya televisheni.
Inasimulia kisa cha daktari anayeweza kuongea na wanyama lakini anakutana na misukosuko mingi baada ya baadhi ya vijana kuingilia mambo yasiyowahusu.
Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato nne mwaka 2019 na kuzitaja shule 10 zilizofanya vizuri zikiongozwa na Shule ya Sekondari ya Kemebos ya mkoani Kagera ambayo imeshika nafasi ya kwanza kitaifa.
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema mmiliki wa kampuni ya VICOBA Foundation anashikiliwa na vyombo vya dola kwa ajili ya uchunguzi kwa madai ya kujihusisha na utapeli wa kutoa mikopo kwa kutumia majina ya viongozi wa Serikali akiwemo Rais John Magufuli kw
Ripoti ya Tathmini ya Uchumi ya mwezi Desemba 2019 inaeleza kuwa sehemu kubwa ya mikopo kwa sekta binafsi imeendelea kuelekezwa kwa watu binafsi au kaya ambazo zilipata wastani wa asilimia 29.9 ya mikopo yote ikifuatiwa na shughuli za biashara zilizokuwa n
Fanya tathmini ya mwenendo wa sasa biashara na angalia fursa zilizopo mbele yako huku ukikubali mabadiliko ya teknolojia na achana na mifumo ya zamani ya biashara.
Hiyo ni baada ya Mpango wa Chakula Duniani (WFP) kuainisha maeneo 15 ambayo yatahitaji msaada wa dharura wa chakula na uwekezaji kwa mwaka huu wa 2020 ikiwemo Zimbabwe na Sudan Kusini.
Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya kikomo za mafuta za mwezi Januari 2020 na kuonyesha kuwa bei ya rejareja ya petroli iliyoingizwa kupitia Bandari ya Dar es Salaam imeongezeka kwa asilimia 2.07 huku ile ya dizeli ikishuka k
Matokeo chanya ya kusafiri yanaweza kuongeza wigo wa mwanafunzi katika elimu na taaluma yake na kumuongezea uwezo wa kujifunza vitu vipya.
Rais John Magufuli ameongeza siku 20 kwa watu watakaoshindwa kusajili laini zao za simu kwa alama za vidole ifikapo Desemba 31 na ameiagiza Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuzima laini ambazo hazijasajiliwa baada ya muda huo kupita.
Baadhi ya mambo hayo ni kupanga ratiba, bajeti na mipango utakayotekeleza mwaka 2020. Mipango itakusaidia kutumia vizuri muda na kipato utakachokipata mwaka ujao.
Baadhi ya matukio hayo ni kuanzishwa kwa hifadhi mpya mbili za Taifa na zinazotozwa katika hifadhi za Taifa na sanamu ya hayati Mwalimu Julius Nyerere iliyozua mjadala mtandaoni.
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua kubwa zinazonyesha leo jijini Dar es Salaam na maeneo mengine ya nchi ni matokeo ya kuimarika kwa ukanda wa mvua na imewataka wananchi kuchukua tahadhari ya kujikinga dhidi ya athari zinazoweza kutokea.