Internews, Nukta Africa wafungua fursa ya mafunzo kwa wanahabari Tanzania
Ni mafunzo ya uthibitishaji habari (Fact Checking) yatakayofanyika kwa siku tatu jijini Dar es Salaam.
Ni mafunzo ya uthibitishaji habari (Fact Checking) yatakayofanyika kwa siku tatu jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema mpaka sasa hivi hakuna mgonjwa yeyote ambaye amethibitishwa kuwa na ugonjwa wa Ebola nchini Tanzania.
Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UN Environment) limezindua tovuti mpya na mitandao ya kijamii kwa lugha ya Kiswahili ili kuwafikia mamilioni ya wazungumzaji wa lugha hiyo kote duniani.
Wakati dunia ikiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kuzuia Kujiua, Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kila sekunde 40 mtu mmoja anafariki kwa kujiua, licha ya kuwa matukio hayo yanaweza kuzuilika ikiwa elimu itatolewa kwa jamii.
Yapo matatizo ya kawaida ambayo utakutana nayo ukiwa hotelini ikiwemo kukosa maji ya moto, mapokezi mabovu na hata kelele za majirani zako.
Yasema mashine za kutolea fedha (ATM) zilizopo nchini hazina mifumo inayoendana na watu wasioona.
Imesema mpaka sasa imebaini leseni zaidi ya 18,000 zenye makosa ambazo zimeanza kufutwa kwenye mfumo wa wizara hiyo ili kutoa fursa kwa wawekezaji kuomba upya.
Iko miongoni mwa nchi sita za Afrika zinazomiliki asilimia 20 ya shughuli za ujasiriamali wa kidijitali.
Mvua hizo za vuli ambazo huanza Oktoba hadi Desemba ni mahususi kwa maeneo ya nchi yanayopata vipindi viwili vya mvua kwa mwaka zinaweza kuambatana na vipindi vya mvua nyingi na chache na kuathiri shughuli za uzalishaji ikiwemo kilimo na miundombinu.
Ameiomba Serikali ya Japan ikubali kutoa mafunzo zaidi kwa madaktari bingwa wa upasuaji na wa magonjwa ya figo na moyo kutoka Tanzania.
Programu hiyo inayokusudia kuongeza kasi ya uchakataji, usambazaji na utoaji wa taarifa za hali ya hewa.
Ameiomba kampuni ya Toshiba ya nchini Japan ifungue ofisi na kuwekeza katika viwanda nchini Tanzania.
Yameshuka kwa zaidi ya mara 21 kutoka Sh7.5 bilioni wiki iliyoishia Agosti 16 hadi Sh351.7 milioni Ijumaa ya Agosti 23, 2019.
Itashiriki mkutano wa Seedstars nchini Uswisi mwaka ujao na kushindania mtaji wa uwekezaji wa hadi takriban Sh2.3 bilioni na tuzo zingine.
Tamasha hilo linajulikana kama “Swahili International Tourism Expo” litafanyika Oktoba 18 hadi 20, 2019 Jijini Dar es Salaam.
Ni Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa (UN), Alvaro Rodriguez aliyemaliza muda wake. Leo amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ofisini kwa Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar es Salaam.
Tengeneza mpango kazi unaoainisha mahitaji na matumizi ya kila pesa unazopata huku ukitumia data kufanya maamuzi ya fedha zako.
Ni Acacia, EABL na JHL ambazo thamani ya hisa zake zimeshuka kwa viwango tofauti.
Amerudishwa rumande hadi Agosti 30, 2019 baada ya Hakimu anayesikiliza kesi yake kupata udhuru huku upande wa mashtaka ukisema bado haujakamilisha upelelezi wa kesi hiyo.
Ni hatua ya kukabiliana na ongezeko la wanyama wakali na wanaovamia maeneo ya watu na kufanya uharibifu ikiwemo kusababisha vifo.