Rwanda yazifuata Kenya, Tanzania kutoa pasipoti za kielektroniki
Inakua nchi ya nne katika jumuiya ya Afrika Mashariki kutoa pasipoti hizo kwa raia wake.
Inakua nchi ya nne katika jumuiya ya Afrika Mashariki kutoa pasipoti hizo kwa raia wake.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema utekelezaji wa bajeti hiyo unategemea nidhamu na utashi wa viongozi na wananchi.
Mapato hayo yameongezeka kwa asilimia 15.1 hadi kufikia Sh34.3 milioni mwaka jana kutoka Sh29.7 milioni mwaka 2017.
Thamani ya hisa za kampuni hizo zimeshuka kwa viwango tofauti. Wawekezaji wa Kenya Airways wamepoteza Sh5 huku wa Acacia wakipoteza Sh200 kwa kila hisa moja iliyouzwa sokoni.
Imesema imeunda mpango mkakati kuhakikisha kila dereva anakuwa na mkataba wa kazi ambao utatoa viwango vipya vya posho wanazopaswa kulipwa wanapokuwa safarini.
Andaa nyaraka muhimu ikiwemo pasipoti, viza, cheti cha hali ya afya yako na fanya utafiti wa kina wa nchi unayoenda ikiwemo kujua tamaduni za wenyeji wako.
Linawawezesha wakulima kuwasiliana na kusaidiana kutatua changamoto za kilimo kwa kutumia ujumbe mfupi wa maneno.
Wamesema zipo baadhi ya halmashauri zinazotoza kodi za kero zilizofutwa na Serikali mwaka 2017.
TPA kuanza upembuzi yakinifu mwaka 2019/2020 kwa ajili ya ujenzi wa bandari hiyo katika eneo la ukubwa ekari 100 mkoani Mbeya.
Idadi hiyo imepungua kwa viwango tofauti kwa miaka miwili mfululizo ya 2017 na 2018 kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kupungua kwa ziara za mafunzo ya wanafunzi.
Serikali yajipanga kutokomeza maambukizi mapya kwa kuangamiza mazalia na kuwajengea uwezo wahudumu wa afya.
Amewashauri kuishi kulingana na uwezo wao na kuepuka kukimbilia wasivyoviweza huku ushauri wake ukipokelewa kwa hisia tofauti na vijana.
Mfumo huo utasaidia kuharakisha na kupunguza gharama za utoaji huduma za ardhi ikiwemo utoaji wa hatimiliki za ardhi.
Wabunge wa mkoa wa Njombe wambana Waziri kuhusu kuanza kwa utekelezaji wa mradi huo wa uchimbaji wa chuma na makaa ya mawe.
Rangi ya pasipoti yako inatoa taarifa nyingi zaidi unavyofikiria ikiwemo utambulisho wa kisiasa na jiografia wa nchi husika.
Watu waliongezeka ni milioni 1.64 ndani ya kipindi cha mwaka mmoja na kuifanya Tanzania iwe na watu milioni 54.14.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu amesema idadi yao imeongezeka sana katika maeneo mbalimbali na kutishia uhai wa wananchi.
Mauzo hayo yameongezeka kutoka tani 240.8 mwaka 2017 hadi tani 1,095.9 mwaka jana na kuipatia Tanzania Sh9.34 bilioni.
Kuondolewa kwa vivutio vya kifedha kumeshusha usajili wa miradi mipya ya uwekezaji kwa asilimia 37.7 ndani ya mwaka mmoja.
Imesema bajeti hiyo itajikita kuboresha kilimo na uanzishwaji wa viwanda vinavyotumia malighafi za ndani na kuboresha mazingira ya ufanyaji biashara.