NIT yapewa nguvu kusomesha marubani 10 wa ndege kwa mwaka
Lengo ni kuongeza idadi ya marubani wazawa ambao watapikwa katika Chuo Cha Taifa cha Usafirishaji (NIT).
Lengo ni kuongeza idadi ya marubani wazawa ambao watapikwa katika Chuo Cha Taifa cha Usafirishaji (NIT).
Watalii hao walipokelewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).
Serikali imesema haijulikani ni lini zoezi la ugawanyi wa fedha za ufilisi wa benki hiyo litaanza kutokana na kuwepo kwa kesi mahakamani.
Yajipanga kudhibiti watalii wanaoingia nchini humo ili kukabiliana na msongamano mkubwa wa watu kwenye vituo vya utalii vilivyopo katika miji mikubwa hasa Amsterdam.
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amesema kukamilika kwa ujenzi wa kiwanda hicho cha upigaji rangi mabomba ya mradi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoimo nchini Uganda hadi Tanga kutafungua fursa za kibiashara na ajira hasa kwa wananchi wa mikoa ya Tab
Amesema alikuwa kiungo muhimu kwa mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao, Serikali na sekta binafsi.
Amesema benki hiyo haina ubaguzi katika utoaji wa mikopo kwa wanawake bali inazingatia masharti na taratibu zilizowekwa ikiwemo kuwa na vikundi vinavyotumika kama dhamana ya mkopo.
Amesema katika kipindi cha uhai wake alishiriki moja kwa moja katika ujenzi wa uchumi kwa kutoa ajira na kuvutia uwekezaji katika sekta za madini, mafuta, gesi na afya.
Amesema wataendelea kutoa kifuta machozi kwa sababu gharama zitakuwa kubwa na watashindwa kuwatunza wanyama hao.
Katika orodha hiyo, uwanja wa ndege wa kimataifa wa Changi wa nchini Singapore ndiyo unashikilia nafasi ya kwanza duniani kwa ubora kwa mwaka 2019.
Ujumbe huo ulihusu urafiki na biashara aliuandika Aprili 23, 2019 ambapo ndiyo ulikuwa ujumbe wa mwisho kuwekwa katika ukurasa wake wa Twitter mpaka mauti yalipomkuta.
Mnara wa Effeil uliopo katika jiji la Paris, Ufaransa na sanamu ya Uhuru iliyopo Marekani ni miongoni mwa maeneo yanayotembelewa zaidi na watalii duniani.
Hajaweka wazi ni lini atatekeleza ahadi hiyo iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na wafanyakazi kutolewa tamko lakini amewataka wawe wavumilivu kwa sababu sasa anajenga uchumi wa nchi na fedha zinaelekezwa katika miradi ya maendeleo.
Miongoni mwa maswali hayo ni ongezeko la kima cha chini cha mishahara na kupungua kwa kodi ya mishahara.
Soko hilo litasaidia kupunguza gharama za usafirishaji wa chai inayouzwa katika mnada uliopo katika mji wa Mombasa nchini Kenya.
Makadirio ya bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia yameshuka kutoka Sh1.406 trilioni katika mwaka 2018/2019 hadi Sh1.389 mwaka wa fedha wa 2019/2020 unaoanza Julai mwaka huu.
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema kimbunga hicho kimepungua nguvu na sasa kimebadilika na kuwa mgandamizo mdogo lakini wanatakiwa kuendelea kuchukua tahadhari ya mvua kubwa inayoweza kunyesha tena.
Watanzania wanaitumia siku ya leo kwa kukaa majumbani na kumpuzika na familia zao, hakuna shamrashara za halaiki ya vijana, gwaride la vikosi vya ulinzi na usalama wala hutuba za viongozi.
Inapatikana katika eneo la Kogatende lilipo kaskazini mwa hifadhi ya Taifa ya Serengeti na itakuwa na mahema na huduma muhimu kwa ajili ya watalii na wanandoa wanaopendelea kupiga kambi katika hifadhi za Taifa.
Shule hizo ni Al-Ihsan Girls na Ben Bella za Mjini Magharibi, Zanzibar na Meta ya mkoani Mbeya ambazo zimeingia kwenye orodha ya shule 10 za mwisho zaidi ya mara moja katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.