Bajeti wizara ya katiba yaongezeka baada ya kushuka miaka miwili
Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria ya mwaka 2021/22 imeongezeka hadi kufikia Sh78.5 bilioni baada ya kushuka mfululizo kwa miaka miwili iliyopita.
Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria ya mwaka 2021/22 imeongezeka hadi kufikia Sh78.5 bilioni baada ya kushuka mfululizo kwa miaka miwili iliyopita.
Bajeti ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) kwa mwaka 2021/22 imeongezeka kwa asilimia 2.5 hadi kufikia Sh28.7 bilioni
Kimbunga Jobo kilichopo bahari ya Hindi kwa sasa kipo umbali wa kilomita 200 mashariki mwa kisiwa cha Mafia. Kimbunga hicho kimepungua nguvu kwa haraka baada ya kuingia katika mazingira yenye mzunguko wa u
Rais Samia Suluhu Hassan amesema dira na muelekeo wa Serikali ya awamu ya sita anayoingoza ni kudumisha mambo yaliyofanywa katika awamu zilizopita, kuyaendeleza mema yaliyopo na kuleta mengine mapya.
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2019/20 imeibua mambo mbalimbali ikiwemo changamoto za matumizi ya fedha za umma kwenye halmashauri nchini.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema hatma ya fedha za wateja wa benki ya FBME iliyofungwa itajulikana mara baada ya zoezi la ufilisi na uuzaji wa mali za benki hiyo kukamilika.
Huenda wamiliki wa pikipiki katika mikoa ya Dar es Salaam na Morogoro wakapata ahueni na kuishi kwa umani, baada ya kinara wa wizi wa chombo hicho cha usafiri kukamatwa na polisi hivi karibuni.
Nchi 20 duniani zikiwemo sita za bara la Afrika bado zinawaruhusu wabakaji kuwaoa wanawake au wasichana waliowabaka ikiwa ni njia ya kuepuka kutiwa hatiani, ripoti mpya ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu (UNFPA) imeeleza.
Unaweza kusema ni maumivu kwa wakulima wa Tanzania baada ya bei ya mahindi kushuka kwa asilimia 39.5 ndani ya kipindi cha mwaka mmoja uliolipita
Imebainika kuwa mfumo wa ukusanyaji wa mapato wa Wizara ya Maliasili na Utalii unakabiliwa na changamoto mbalimbali za tehama zinazochangia kuvujisha mapato ya Serikali.
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) yasema mvua hiyo inaweza kusababisha athari mbalimbali.
Athari zinazoweza kujitokeza ni shida ya usafiri na kusimama kwa muda kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi na kijamii.
Ameiagiza Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuvifungulia vyombo vya habari vilivyofungiwa, na kuhakikisha vinafuata sheria na kanuni zilizowekwa ili isionekane Serikali inaminya uhuru wa vyombo vya habari.
Hakikisha una mawasiliano ya simu ya watoa huduma, vifaa vya kujikinga na vyakula vitakavyokusaidia wakati unaumwa.
Ni pamoja na matumizi ya pesa nje ya bajeti, unywaji wa pombe uliopitiliza na kuvunja amani na utulivu.
Ni kuwa na taarifa sahihi za COVID-19 na kuwasaidia wenye ugonjwa huo kwa kuwapatia vifaa vya kujikinga na kuwapa moyo kuwa watashinda.
Hakikisha una taarifa muhimu kuhusu utaratibu wa kumuona mgonjwa hospitali na huku ukikumbuka kuvaa barakoa na kuosha mikono.
Bajeti hiyo imeongeza kwa asilimia 8.7 ikilinganishwa na iliyotengwa mwaka huu ambapo sehemu kubwa ya bajeti hiyo itaekelezwa katika sekta za afya na elimu.
Ukitaka kujiweka salama zaidi dhidi ya Corona epuka kunywa pombe, kuvuta sigara na kula mlo kamili kila siku wewe na uwapendao.
Maoni mchanganyiko yameibuka baada ya Serikali kutangaza kuanzisha tahasusi (combination) mpya tano ikiwemo ya masomo ya Kiswahili, French, Chinese (KFC) kwa wanafunzi wa kidato cha tano.
Kwa sasa chanjo inayoongoza kutumiwa zaidi na nchi mbalimbali duniani ni Pfizer/BoiNTech na Oxford/AstraZenaca