Elimu, mkaa mbadala kupungua ukataji miti ya asili
Serikali, sekta binafsi watakiwa kujielimisha zaidi juu ya matumizi ya mkaa ili kupata suluhisho la pamoja katika kutafuta nishati endelevu itakayosaidia kupunguza ukataji miti.
Serikali, sekta binafsi watakiwa kujielimisha zaidi juu ya matumizi ya mkaa ili kupata suluhisho la pamoja katika kutafuta nishati endelevu itakayosaidia kupunguza ukataji miti.
Imesema iko mbioni kufanya mabadiliko ya sheria ili kuzuia jambo hilo lisitokee tena, huku wananchi wanaofuga wanyama hao wakitakiwa kuangalia namna nyingine ya kupata kipato.
Fedha hizo ni kati ya Sh700 bilioni zinazotarajiwa kulipwa kwa wakulima hao kabla ya zoezi hilo kuhitimishwa Februari 15, 2019.
Mfumo huo hutumika kuwatumia waathirika wa ugonjwa huo pesa zinazokidhi mahitaji yao na usafiri mpaka kufika katika vituo vya afya kupata matibabu.
Wamiliki wa vyombo vya moto, hoteli na Serikali watapata kipato kutokana na wageni watakaoshiriki mashindano hayo yatakayofanyika kuanzia Aprili 14 hadi 28 mwaka huu jijini Dar es Salaam.
Ujenzi huo unahusisha miundombinu ya barabara ya Kilwa kuanzia katikati ya Jiji la Dar es Salaam hadi Mbagala Rangitatu.
Imeanza kutumia mifumo ya kielektroniki katika usajili na kuratibu mwenendo wa mashauri, Mawakili, makusanyo na utambuzi wa mahitaji ya mahakama nchini.
Ni kiwanja cha ndege cha Njombe kilijengwa kabla ya uhuru miaka ya 1940 na kuanza kutumika rasmi mwaka 1945.
Katika lita moja watakayonunua, wateja wa rejareja watapata ahueni ya Sh175 kwa petroli, Sh144 kwa dizeli na Sh156 kwa mafuta ya taa kutoka bei ya sasa.
Ainisha mipango ya muda mfupi na muda mrefu ili kufahamu kiasi cha pesa kinachohitajika katika utekelezaji wake.
Mfumo huo utaondoa changamoto za utendaji, kuboresha uwajibikaji na ufanisi wa watumishi wa umma serikalini.
Awakumbusha wajibu wa kusoma kwa bidii, kuachana na starehe ili kuongeza ufaulu na kufika katika kilelele cha ndoto zao.
Itakuwa na taarifa muhimu za sera na kanuni zinazosimamia matumizi ya taarifa za siri, matangazo na watumiaji wa mtandao huo.
Hatua hiyo itafikiwa baada ya Serikali kukamilisha mchakato wa uwekezaji katika zao hilo ikiwemo kujenga viwanda vya kuchakata pamba hapa nchini.
Utalii huo utahusisha fukwe kutoka Bagamoyo hadi Tanga na Ziwa Victoria katika eneo la Chato ili kuisaidia Serikali kupata watalii milioni nane ifikapo 2025.
Imeongeza watumiaji wa mtandao wake hadi kufikia asilimia mbili Desemba 2018 kutoka asilimia moja iliyodumu kwa miaka nane iliyopita
Ni miongoni mwa mikoa 10 iliyofanya vibaya katika matokeo ya kidato cha nne mwaka 2018.
Baadhi ya vyuo vinakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo kutokukidhi vigezo vya utoaji wa elimu bora.
Orodhesha mapato na matumizi kabla ya kuanza kutumia pesa.
Wamesema vitendo hivyo siyo ishara nzuri kwa maendeleo ya Taifa kwasababu vinaibua changamoto za weledi katika soko la ajira.