Kuishi karibu na minara ya simu kunasababisha kansa?
Mpaka sasa hakuna ushahidi wa moja kwa moja ambao umetolewa kuhuhu minara hiyo kusababisha udhaifu huo mwilini.
Mpaka sasa hakuna ushahidi wa moja kwa moja ambao umetolewa kuhuhu minara hiyo kusababisha udhaifu huo mwilini.
Ni asilimia 85.7 ya mabasi yote yaliyopo nchini na hutumika zaidi kusafirisha abiria katika miji na vijiji.
Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) limetakiwa kushughulikia changamoto za madeni ya ndani ili kuboresha upatikanaji wa umeme visiwani humo.
Katika kipindi cha Januari hadi Desemba mwaka 2018, kulitokea matukio 3,978 ya ajali za barabarani ukilinganisha na matukio 6,022 yaliyotokea mwaka uliotangulia wa 2017.
Mambo hayo ni pamoja na kuweka maudhui ya upotoshaji dhidi ya wateja yasiyoendana na biashara yako.
Unasaidia kupunguza gharama za nishati inayotumika kwenye mifumo ya machemsho ya maji.
Hatua hiyo itasaidia kujikita katika habari za uchunguzi ili kutatua changamoto za upatikanaji wa nishati vijijini.
Mpaka sasa malipo yamefanyika kwa tani 92,000 ikiwa ni chini ya nusu ya korosho yote iliyopo ghalani inayofikia tani 206,000.
Imepatikana baada ya kukamilisha usajili na itaanza kuonekana kwenye kisimbusi cha AZAM namba 109.
Wamesema nishati hiyo ni ya uhakika, endelevu na inaweza kutumiwa na vizazi vijavyo bila kuathiriwa na mabadiliko ya hali ya hewa.
Ni zile zinazohitajika katika kuripoti habari za nishati jadidifu ili kuleta matokeo chanya kwenye jamii.
Wabunifu wanatumia kama mapambo ya taa, viti ili kuongeza mvuto na kuendeleza utamaduni wa Afrika.
Itaziunganisha bandari za Tanzania, Kenya na Uganda huku ikiongeza usafirishaji wa abiria na bidhaa katika ukanda huo.
Tafsiri hutofautiana kulingana na muda, kazi au aina ya biashara inayofanyika katika eneo husika.
Mchakato wa kuwahamisha wananchi na upembuzi yakinifu katika eneo la Mangapwani Unguja itakapojengwa bandari hiyo umeanza.
Inafufua safari za ndani hasa katika Mikoa ya Mtwara, Ruvuma, Mpanda na Pemba ili kupata abiria na mizigo inayosafirishwa nje ya nchi.
Hiyo ina maana kuwa hisa zinazomilikiwa na Bharti Airtel katika kampuni hiyo zimepungua hadi kufikia asilimia 51 kutoka asilimia 60 ambazo ilikuwa inamiliki hapo awali.
Kwa miaka mitatu mfululizo tangu mwaka 2016, uzalishaji wa zao hilo umekuwa ukishuka kila mwaka.
Maagizo hayo ni pamoja na kuanzisha vituo vya ununuzi wa madini na kuongeza ubunifu katika maeneo yao ya kazi ili kuboresha maslahi ya watanzania.
Hatua hiyo ni utekelezaji wa mpango wa kuwawezesha wafanyabiashara kufanya shughuli zao mchana na usiku ili kuongeza mapato ya Serikali.