Kwanini ufuatilie mjadala wa bei ya korosho?
Zao hilo ndiyo liliongoza kwa kuingiza fedha nyingi za kigeni kuliko mazao mengine yote ya biashara mwaka jana.
Zao hilo ndiyo liliongoza kwa kuingiza fedha nyingi za kigeni kuliko mazao mengine yote ya biashara mwaka jana.
Hakikisha una pasi ya kusafiri na kitambulisho kitakachosaidia kukutambua kwa haraka ili kuepuka usumbufu.
Wanafunzi 12,071 waliosalia watapangiwa mikopo katika awamu inayofuata ili kukamilisha idadi iliyopangwa ya wanafunzi 40,000
Imeshika nafasi ya 135 katika ya nchi 140 zilizofanyiwa utafiti na Jukwaa la Uchumi Duniani (World Economic Forum).
Mkoa huo umeshika nafasi ya mwisho kati ya mikoa 26 ya Tanzania Bara ikiporomoka kwa kasi kutoka nafasi ya 13 mwaka jana.
Kigoma inaongoza kwa kuwa na kiwango kikubwa cha maambukizi ya Malaria kwa watoto chini ya miaka mitano kwa asilimia 24, mara tatu zaidi ya wastani wa kitaifa.
Wasafiri wa mara ya kwanza wanapashwa kufuatilia kwa karibu aina ya mizigo wanayotakiwa kusafiri nayo.
Orodha iliyotolewa leo ni ya kwanza lakini mchakato wa kuwapangia wanafunzi mikopo utaendelea kulingana na uhitaji na uchambuzi wa taarifa za wanafunzi wanaodahiliwa vyuoni.
Mradi huo wa kusafirisha umeme utaunganisha nchi za Tanzania na Kenya ili kuongeza fursa za upatikanaji wa umeme katika nchi hizo.
Huadhimishwa Oktoba 17 kila mwaka kuhamasisha na kuendeleza mifumo ya vikundi vya kuweka akiba na kukopeshana kwa ajili ya kupata mitaji ya kufanya shughuli za kiuchumi.
Mipango hiyo ni pamoja na kuwekeza katika mifumo ya kidijitali na kutumia mitandao ya kijamii kuwafikia wananchi wengi wa vijijini.
Awali walikuwa wanatumia umeme wa kilovoti 100, jambo lilozuia ukuaji wa viwanda vidogovidogo vya kusaga na kukoboa nafaka, kukamua mafuta yatokanayo na uchomeleaji vyuma.
Hatua hiyo ni kujibu kero ya muda mrefu ya wakulima wa mazao ya mbaazi na choroko kukosa soko la uhakika kwa kuongeza thamani ya mazao hayo hapa nchini.
Yaeleza kuwa taarifa sahihi za hali ya hewa ni muhimu katika uhifadhi mali kale na utamaduni wa Mtanzania.
Ameagiza wafanyakazi wawili wa mamlaka hiyo waondolewe kwenye kazi wanazofanya sasa na kupangiwa kazi nyingine baada ya kuwepo kwa tuhuma za ulevi wa kupindukia na kuikosesha Serikali mapato.
Asema visipodhibitiwa mapema vitageuka janga kwa uchumi wa Taifa, mazingira na afya za wananchi.
Marejesho hayo yanazihusu kampuni na wafanyabiashara mbalimbali nchini wakiwemo waagizaji wa sukari za viwandani ambao madai yao yamehakikiwa kuanzia Septemba, 2018.
Ni Mjukuu wa Malkia Elizabeth II wa Uingereza aliyeingia hapa nchini jana atakuwepo kwa siku 4 hadi tarehe 29 Septemba, 2018.
Asema baadhi ya mapendekezo yaliyopo katika ripoti hiyo yamelenga kukwamisha mradi huo unaotarajiwa kuzalisha umeme wa 2100MW.
Teknolojia hiyo mpya ya matumizi ya simu inalenga kupunguza uhaba wa madawa na kuboresha afya za watu Zanzibar.