Watanzania 48 kushiriki jukwaa la wajasiriamali Afrika
Ni wale wenye mawazo ya kibunifu yenye uwezo wa kutatua changamoto za jamii.
Ni wale wenye mawazo ya kibunifu yenye uwezo wa kutatua changamoto za jamii.
Utaboresha miundombinu na taarifa za hali ya hewa nchini
Ubora wa bidhaa na mfumo wa malipo katika ununuzi wa bidhaa mtandaoni ni changamoto nyingine inayohitaji ufumbuzi wa kudumu.
Ziara hiyo kuanisha maeneo yatakawekwa kwenye uangalizi wa mazingira nyeti
Katika hatua za awali Windlab watazalisha megawati 100 zitakazoingia kwenye gridi ya Taifa.
Upatikanaji wa data utafanikisha maamuzi sahihi ya usalama wa chakula
Viwanda viwili vitakavyojengwa na kampuni hiyo vitasaidia kupunguza uhaba wa sukari unaolikabili Taifa.
Ndoto yake ni kutengeneza sabuni zenye ubora zitakazopenya kwenye soko la ushindani nchi na kimataifa.
Meli zitachochea biashara ya samaki na kukuza pato la wananchi.
Statoil yasema mabadiliko ya jina hayataathiri shughuli za uchimbaji gesi nchini
Wachambuzi wanasema watanzania hawana jinsi zaidi ya kukubaliana na mabadiliko ya teknolojia ya manunuzi
Utaratibu utakaoanza baada ya mwezi mmoja ujao utawafanya abiria wote kutumia kituo cha Kamata mpaka ujenzi wa kituo kipya cha Stesheni utakapokamilika.
Idadi ya mashirika yanayotumia huduma za posta nchini imeongezeka mara 10 ndani ya mwaka mmoja.
Wasomi Tanzania wataka tathmini ya kina ifanyike kabla ya kuwapa wakulima.
Ripoti yasema Dar es Salaam ina ongezeko kubwa la majengo lisiloendana na mahitaji ya wateja.
Tundu moja la choo linatumiwa na wastani wa watoto 209 kwa wavulana na wasichana.
. Wanafunzi na walimu watumia matundu manne kwa miaka miwili.
. Malumbano ya kisiasa yakwamisha choo kipya kukamilika kwa wakati
Robo tatu au asilimia 76 ya wanafunzi waliofanya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2017 walipata daraja la IV na sifuri.
Mark Zuckerberg kuwaunganisha makapela zaidi ya milioni 200 wa Facebook, ikiwa ni huduma maalum tofauti na inayotumika sasa ya watu kutongozana ‘kienyeji’ mtandaoni.
Asilimia 52 ya wanafunzi wote elimu ya msingi wilayani humo ni wasichana na ndiyo inayoongoza kwa udahili wa watoto wakike.
Matumizi ya teknolojia hiyo yataokoa gharama za matibabu kwa wagojwa kwa takriban mara tano ikilinganishwa na matibabu yanayotolewa nje ya nchi