Magufuli ‘awawashia moto’ waliochukua fedha za wafanyabiashara Morogoro
Ni baadhi ya watendaji waliowatoza fedha za ziada wafanyabiashara waliopata vizimba katika soko kuu la Morogoro lililopo mkoani Morogoro.
Ni baadhi ya watendaji waliowatoza fedha za ziada wafanyabiashara waliopata vizimba katika soko kuu la Morogoro lililopo mkoani Morogoro.
Zaidi ya wahudumu wa afya 7,000 wamefariki dunia wakati wakitoa huduma kwa wagonjwa wa Corona.
Ni baada ya Serikali kuanza mpango wa kuanzisha kanzidata ya wanufaika wa mfuko huo ili kuepusha changamoto zilizojitokeza hapo awali ikiwemo baadhi kupokea fedha mara mbili.
Bei ya jumla ya gunia la kilo 100 la mahindi kwa mwaka ulioishia Desemba 2020 ilishuka hadi Sh56,892 kutoka Sh87,59 iliyorekodiwa Desemba 2019.
Ni kile cha haja kubwa kilichotangazwa na China hivi karibuni.
Wizara ya Afya yasema haijatangaza kipimo kipya cha Corona. Yawataka mashabiki wa mpira wa miguu kupuuza uzushi huo unaosambaa mtandaoni.
Amesema itasaidia kupunguza athari za kiuchumi kwa Taifa ikiwemo kupungua kwa uwezo wa benki kutoa mikopo kwa Watanzania.
Kamati ya Sera ya Fedha ya Bodi ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) yasema Hiyo ni kutokana na mwenendo wa kuridhisha wa hivi karibuni wa sekta muhimu za uchumi.
Kwa mujibu wa matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2020, ni asilimia 20.1 tu ya watahiniwa 434,654 waliofanya mtihani huo, ndiyo wamefaulu somo la hisabati
Baraza la Biashara la Afrika Mashariki (EABC) limesema itasaidia kuongeza kasi ya biashara ya mipakani.
Miongoni mwa madeni ni lile la ujenzi wa reli ya Tazara miaka 50 iliyopita
Ni pamoja na kumkinga mtu asipate maambukizi ya ugonjwa huo.
Bei za rejareja za petroli iliyoingizwa kupitia Bandari ya Dar es Salaam imeshuka kwa asilimia 1.67 wakati bei za rejareja za dizeli zimeongezeka kwa Sh9 kwa lita na mafuta ya taa kwa Sh29 kwa lita.
Ni kwa sababu wanaonyesha matokeo haraka ya majaribio ya utafiti wa chanjo.
WHO yasema siyo miongoni mwa dalili za ugonjwa huo, lakini maji maji ya chafya yanaweza kusababisha COVID-19.
Ni dawa aina ya Covifor inayotumika kutuliza dalili za wagonjwa wa COVID-19.
Utengenezaji wake hupitia hatua sita kabla ya kuanza kupelekwa kwa umma.
Madai hayo hayana ukweli wowote kwa sababu wataalam wa afya hawajathibitisha.
Ni Sergio Chekaloff ambaye anaishi Hispania baada ya kupewa hadhi ya kutokuwa na utaifa.
Umeshuka hadi asilimia 3 kwa mwaka ulioishia Novemba 2020 kutoka asilimia 3.1 iliyorekodiwa Oktoba mwaka huu.