Darasa la saba kikaangoni kesho, Necta ikionya udanganyifu wa mitihani
Necta yasema itachukua hatua za kisheria kwa watakaohusika na wizi na udanganyifu wa mitihani wa darasa saba unaoanza Oktoba 7, 2020.
Necta yasema itachukua hatua za kisheria kwa watakaohusika na wizi na udanganyifu wa mitihani wa darasa saba unaoanza Oktoba 7, 2020.
Msichana mmoja kati ya watano duniani amepunguza au ameacha kutumia kabisa mitandao ya kijamii kutokana na unyanyasaji unafanyika mtandaoni.
Ni za Shirika la ndege la Singapore ambapo wateja watapata huduma ya chakula na filamu kwenye ndege zake bila kuhitaji kusafiri.
Ni baada ya uzalishaji wake kuongezeka na kukidhi mahitaji ya soko la ndani.
Takribani dola za Marekani bilioni 89 (Sh206.5 trilioni) hutoroshwa kutoka katika nchi za Afrika zaidi kupitia sekta ya madini.
Bei ya jumla ya zao hilo katika jiji la Dar es Salaam ni zaidi ya mara tatu ya inayotumika Mpanda ambayo ni Sh70,000.
Majiko hayo ambayo hutengenezwa kwa malighafi za vyuma na mapati yanatumia kuni mbili tu, jambo linalosaidia kupunguza ukataji wa miti.
Thamani ya miamala ya fedha inayofanywa kwenye simu za mkononi imefikia Sh10.6 trilioni mwezi Juni mwaka huu huku watumiaji wa huduma hizo nao wakiongezeka.
Thamani ya hisa za kampuni hiyo zimeshuka kwa asilimia 4.71 kutoka kiwango cha Ijumaa Septemba 18, 2020.
Imesitisha ununuzi kwa muda kwa sababu maghala ya Hifadhi ya Taifa ya Chakula (NFRA) yamejaa.
Zinakusudia kujenga mtambo wa pamoja cha uchenjuaji wa madini ya nickel na kutumia vituo vya madini vya mkoa wa Kigoma kuuza madini.
Bei ya jumla ya gunia la kilo 100 la mahindi kwa mwezi Julai 2020 ilikuwa Sh58,362 ikipanda kutoka Sh56,914 iliyorekodiwa Juni mwaka huu.
Hadi kufikia robo ya pili ya mwaka 2020, watumiaji wa intaneti walikuwa milioni 27.1 kutoka milioni 26.8 robo ya kwanza mwaka huu.
Mahitaji ya maua hasa ya asili yanazidi kuongezeka, jambo linalotoa fursa kwa wakulima kufaidika na zao hilo ikiwa watawekeza nguvu zao.
Mradi huo wa megawati 80 ulianza kujengwa mwaka 2017 ulitakiwa kukamilika Februari mwaka huu
Amesema alitoa mchango mkubwa katika tasnia ya sheria na katika nafasi mbalimbali alizotumikia ndani na nje ya Tanzania.
Gunia la kilo 100 la viazi mviringo katika masoko ya mkoa wa Mtwara linauzwa kwa Sh110,000, wakati masoko ya Iringa na Dar es Salaam linauzwa kwa Sh45,000.
Ni pamoja na matumizi ya teknolojia ya kamera za kudhibiti mwendokasi wa magari kuwaepusha wanyamapori na ajali za barabarani.
Ni baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kutabiri vipindi virefu vya ukavu wakati wa mvua za vuli
Baadhi yao wapendekeza Serikali mpya itakayochaguliwa iwasomeshe wanafunzi bure na kuboresha mazingira ya kusomea vyuoni.