Ujio mvua za vuli: Wakulima, wavuvi watahadharishwa Tanzania
Mvua hizo zitakazonyesha kati ya Oktoba na Desemba zitakuwa chache na zinaweza kusababisha ukame na upungufu wa maji.
Mvua hizo zitakazonyesha kati ya Oktoba na Desemba zitakuwa chache na zinaweza kusababisha ukame na upungufu wa maji.
Baadhi vyaahidi kushughulikia athari za COVID-19 katika sekta ya utalii baada ya kuingia madarakani mwezi Oktoba 2020.
Ripoti ya mfumuko wa bei kwa mwaka ulioishia Agosti 2020 inaeleza kuwa kasi ya kupanda kwa bei za bidhaa na huduma ilibaki asilimia 3.3 kama ilivyokuwa Julai 2020.
Vyama hivyo kikiwemo chama tawala Chama cha Mapinduzi (CCM) vimeeleza katika ilani zao na baadhi ya mikutano ya kampeni namna vitakavyoboresha mazingira ya upatikanaji wa kodi usiowaumiza wananchi.
Bei ya juu ya gunia la kilo 100 la zao hilo linauzwa kwa Sh220,000 katika soko la Majengo jijini humo ikiwa imepanda kutoka Sh165,000 iliyorekodiwa Jumatatu Agosti 31, 2020.
Uchambuzi wa ilani tatu za vyama vya CCM (Chama Cha Mapinduzi), Chadema (Chama Cha Demokrasia na Maendeleo) na ACT-Wazalendo (Alliance for Change and Transparency) za mwaka 2020-2025 kuhusu uchumi huo na namna zitakavyoujenga ili ulete manufaa kwa wananchi
Mazingira yasiyoridhisha ya kazi ni moja ya sababu zinazochangia hali hiyo huku Serikali ikisema itaendelea kuongeza idadi ya walimu ili kukidhi mahitaji.
Ni fedha walizouza kahawa kwa vyama vya ushirika mkoani humo.
Uamuzi huo unafuatia maoni, ushauri na maombi kutoka kwa wanafunzi, wazazi na walezi ambayo HESLB imeyapokea.
Idadi ya wanawake wanaochaguliwa katika nafasi za udiwani, uwakilishi na ubunge bado iko chini. Mila potofu, mfumo dume na umaskini wa kipato wachangia kuwadidimiza.
Wadau wa usalama barabarani wapendekeza maboresho ya sheria yatakayosaidia kupunguza zaidi vifo na majeruhi.
Bidhaa hizo hutumika kuwadhibiti tembo wasivamie na kuharibu mazao ya wakulima yaliyopo shambani.
Katika baadhi ya maeneo, tembo wanavamia na kuharibu mazao ya wakulima na mashine za kusagia nafaka.
Doria, elimu na usaliti miongoni mwa wafanyabiashara uliwezesha biashara hiyo kukomeshwa kabisa katika eneo hilo lilizungukwa na Hifadhi ya Taifa ya Nyerere.
Hadi kufikia mwaka 2017/18 zaidi ya nusu ya kaya za Tanzania zilikuwa hazimiliki redio.
Viongozi wataka Watanzania waendeleze mazuri yote aliyoyafanya wakati wa uhai wake.
Atakumbukwa kwa kujenga misingi ya uchumi iliyosaidia kuboresha maisha ya Watanzania.
Imepanda kutoka Sh61,000 hadi Sh70,000 katika kipindi cha wiki moja.
Kozi zitakazopewa kipaumbele zaidi ni pamoja na ualimu wa sayansi, programu za uhandisi na sayansi ya afya.
Ni vya kuchakata chai vya Chivanjee na Musekera vilivyopo wilayani Rungwe katika Mkoa wa Mbeya ambavyo vimefungwa kwa sababu ya uharibifu wa miundombinu na kushindwa kujiendesha.