Wahamiaji wabebeshwa mzigo wa Corona duniani
Wamekuwa wakinyanyapaliwa kwa kudaiwa kuwa waeneza virusi vya ugonjwa wa Corona, jambo ambalo ni kinyume na hali halisi.
Wamekuwa wakinyanyapaliwa kwa kudaiwa kuwa waeneza virusi vya ugonjwa wa Corona, jambo ambalo ni kinyume na hali halisi.
Inafanya mabadiliko ya sera yake kuzuia matangazo ya programu zinazofuatilia watu mtandaoni bila ridhaa yao.
Kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka mara kwa mara na kutumia vitakasa mikono inaweza kukusaidia kujikinga na ugonjwa huo.
Bei mpya za rejareja za nishati hiyo kwa Julai zimeongezeka ikilinganishwa na Juni kutokana na mabadiliko katika soko la dunia na gharama za usafirishaji.
Kubana pumzi isitoke kwa sekunde 10 au zaidi bila kukohoa au kujisikia vibaya siyo ishara kuwa uko salama dhidi ya virusi vya Corona.
Serikali yawataka wakulima kuongeza uzalishaji wa zao hilo kwa ubora unaokidhi viwango vya kimataifa.
Shule binafsi zaonywa kutoongeza viwango vya ada.
Amesema Serikali inaendelea kulifanyia kazi hilo na bei ya mazao itaimarika.
WHO imesema hakuna taarifa wala ushaidi wa kuthibitisha kuwa inzi wanaeneza COVID-19.
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema ingawa pilipili ni zao linalotumika kuongeza ladha kwenye chakula lakini haitibu au kuzuia COVID-19.
Wape taarifa sahihi kuhusu ugonjwa huo kulingana na umri wao na wafundishe jinsi ya kujikinga na kuwalinda wenzao dhidi ya Corona
Mwanafunzi bora kidato cha nne 2019 apelekwa Kilakala mkoani Morogoro.
Itafanyika kwa nyakati tofauti baada ya shule zote kufunguliwa Juni 29 mwaka huu.
Tozo hizo zitapungua kutoka kiwango cha sasa cha Sh10,000 hadi Sh4,000.
Inadaiwa zimekuwa zikitoa habari mbalimbali za kupotosha ikiwemo ugonjwa wa virusi vya Corona.
Amependekeza vifaa tiba na michango inayotolewa na wananchi kwa Serikali katika kipindi hiki cha ugonjwa wa virusi vya Corona hadi hapo Serikali itakapoamua vinginevyo.
Watakiwa kufuata bei elekezi ya Sh1,200 kwa kilo na kufanya biashara hiyo mchana kweupe bila kuwahujumu wakulima.
Wavuvi wa Tanzania wanaotumia bahari ya Hindi wametakiwa kujipanga kuongeza kasi ya uzalishaji wa samaki kutokana na hali ya joto la bahari linalotarajiwa katika msimu wa kipupwe.
Wizara hizo ni pamoja na Wizara ya Fedha na Mipango na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
Umeshuka hadi kufikia asilimia 3.2 kwa mwaka ulioishia Mei 2020 kutoka asilimia 3.3 iliyorekodiwa Aprili mwaka huu.