Jinsi ya kujikinga na Corona ukiwa saluni
Wamiliki wa saluni na Vinyozi wametakiwa kuwa na vifaa vya kunawia mikono na vitakasa mikono kwa wanaoingia na kutoka kuosha mikono yao.
Wamiliki wa saluni na Vinyozi wametakiwa kuwa na vifaa vya kunawia mikono na vitakasa mikono kwa wanaoingia na kutoka kuosha mikono yao.
Ni chanjo inayotengenezwa Marekani na hutolewa dozi moja tu kwa mtu anayepatiwa.
Wapotoshaji wamesambaza picha inayoonyesha Rais Macron akiwa na alama za vidole usoni baada ya kupigwa kibao.
Hakuna chanjo inayoitwa Abdallah bali ipo inayoitwa Abdala kutoka nchini Cuba
Kuna habari inasambaa mtandaoni ikidai waliopatiwa chanjo ya Corona wanaambukizwa kwa kasi ugonjwa huo na wanaishi kufa. Wizara ya Afya Uganda yasema habari hiyo haina ukweli wowote.
Kupitia mfumo huu utaweza kujua kila hatua ya chanjo iliyokuwa katika majaribio.
‘Coronavirus (Covid-19) information Center’ inapatikana kwa watumiaji wote wa mtandao huo wa Facebook duniani.
Wakati huu wa janga la Corona, watu wanahitaji taarifa sahihi zitakazowasaidia kuushinda ugonjwa huo kwa kutumia mifumo ya teknolojia.
Mbinu hizo ni pamoja kufahamu mtu aliyetengeneza ujumbe na ukweli kuhusu habari iliyotolewa.
Kubaini aina hiyo ya bahari inayopotosha tazama kwa makini picha, kichwa cha habari kwa sababu mara nyingi hukosa uhalisia.
Maswali hayo ni pamoja na picha hiyo inahusu nini? Nani ametengeneza? Inamaanisha nini?
Kisa cha kwanza cha mgonjwa wa Corona nchini kilithibitishwa Machi 16, 2020 ambapo mgonjwa huyo alikuwa mwanamke mwenye umri wa miaka 46.
Aina hizo ni “misinformation”, “disinformation” na “malinformation”. Habari hizo zote hutumiwa kwa malengo tofauti ili kuzidisha athari za Corona.
Ni Birdwatch inayoruhusu watu kuripoti taarifa ambazo wanaamini ni za uongo kwenye mtandao.
Ni pamoja na kuepuka kusambaza video kwa watu wengine kabla ya kuzithibitisha
Habari hizo za zamani ni zile zinahusu ugonjwa wa Corona ili kukusaidia kufanya maamuzi hasa kwa wanahabari.
Wanafunzi 51 kati ya 118 wamefanikiwa kupata daraja la kwanza la alama saba ikiwa ni ufaulu juu kabisa.
Habari hizo huja katika mfumo wa muktadha wa uongo (false context)
Zana hiyo inaweza kutumiwa na mtu yoyote ili kujiweka salama dhidi ya upotoshaji.
Ukweli ni kuwa wagonjwa wa Ukimwi wanaweza kupata changamoto ya matibabu wakati huu wa janga la Corona.