Jinsi InVID inavyotumika kung’amua video za uzushi
Mtumiaji ili aweze kuitumia InVID atatakiwa kupakua kwanza kiunganishi cha InVID (InVID plugin).
Mtumiaji ili aweze kuitumia InVID atatakiwa kupakua kwanza kiunganishi cha InVID (InVID plugin).
Kuna video zinazosambaa mtandaoni zikionyesha watu wanadondoka na kufariki kwa madai ya kuumwa na wadudu hao.
Ni picha inayomuonyesha mwanaume aliyeungua mgongo kwa kile kinachodaiwa ni madhara ya kujifukiza lakini picha hiyo ni uzushi na uongo kwa sababu ni tukio lilitokea Kenya.
Picha zinazosambaa mtandaoni ni za fedha zilizoisha muda wake katika nchi ya Venezuela ambayo ilibadilisha noti zake mwaka 2018.
Picha hizo zinasambaa kwenye mtandao wa WhatApp zikihushwa na wagonjwa wa corona (covid-19) nchini italia siyo za kweli bali ni za wagonjwa waliokolewa wakati wa tetemeko la ardhi nchini Croatia.
Kwa mara ya kwanza picha hiyo, inayosambaa kama ni watu waliofariki kwa virusi vya corona nchini China, ilichapishwa na mtandao wa South China Post Morning Post Machi 26, 2014 ikionyesha kazi ya sanaa jijini Frankfurt, Ujerumani.
Zanzibar imeingiza shule saba kati ya 10 katika shule zilizofanya vibaya.
Katika matokeo ya kidato cha nne mwaka 2019 wanafunzi wake 35 kati ya 70 wamepata daraja la kwanza alama saba.
Wanafunzi 57 kati ya 91 wamepata daraja la kwanza la alama 7 kutoka wanafunzi 41 mwaka juzi.
Ni warsha iliyowashirikisha wadau makundi muhimu ya wanawake, sekta binafsi, Serikali, Asasi za Kiraia (Azaki) pamoja na wanahabari.
Wanakusudia kutekeleza mradi wa upandaji miti ili kulifanya Jiji la Dodoma kuwa la Kijani na kuwainua kiuchumi vijana na wanawake.
Mapori hayo ya kiba kwa pamoja yana ukubwa wa eneo la kilomita za mraba zipatazo 96,146.
Sasa wafanyabiashara wadogo wataweza kuorodhesha huduma wanazotoa kwenye wasifu wao wa LinkedIn.
Ni Leticia Calderon mwigizaji liyeigiza sinema maarufu ya ESMERALDA.
Wajasiriamali wakaribishwa kujenga na kuuza gesi hiyo kwa watumiaji wa mwisho wakiwemo wamiliki wa magari yanayotumia nishati hiyo.
Unasaidia kuwaepusha watu na wizi mtandaoni unaofanywa na matapeli.
Amewataka kutekeleza majukumu yao ya kuwatumikia wananchi bila ubaguzi wala kupokea rushwa.
Unajulikana kama Shoelace na umeanza kwa majaribio katika mji wa New York, Marekani.
Mikoa hiyo ni Tabora, Simiyu, Kagera na Mjini Magharibi ambayo hufaulu wake kimkoa haujabadilika kwa miaka miwili mfululizo.
Mkoa wa Lindi mwaka huu umekuwa wa kwanza kitaifa baada kufaulisha wanafunzi wake wote kwa asilimia 100 kama ilivyofanya Mtwara mwaka 2018.