Siri ya sanamu ya Askari katikati ya jiji Dar es Salaam
Kabla ya sanamu hiyo kulikuwa na sanamu nyingine ya kigogo wa Kijerumani Meja Hermann von Wissmann iliyong’olewa baada ya Vita ya Kwanza ya Dunia.
Kabla ya sanamu hiyo kulikuwa na sanamu nyingine ya kigogo wa Kijerumani Meja Hermann von Wissmann iliyong’olewa baada ya Vita ya Kwanza ya Dunia.
Atapumzishwa katika makaburi ya Kinondoni, Jijini Dar es Salaam Machi 9, 2019.
Ruge Mutahaba amezikwa kijijini kwao mkoani Kagera akiacha kumbukumbu ya miradi na matamasha lukuki yakiwemo Malkia wa Nguvu, Fursa na Fiesta.
Amesema hakuna mtu anayeweza kuelezea kwa ukamilifu wasifu wake kutokana na mchango mkubwa alioutoa katika kampuni ya CMG na Taifa kwa ujumla.
Mtoto wake wa kwanza, Mwachi amesema baba yale alikuwa na vipaji vingi ikiwemo uandishi na uchezaji mpira vilivyomfanya asiwe karibu na familia yake.
Katika kipindi cha miaka saba iliyopita, Serikali haikufanikiwa kuingiza hata shule moja katika 10 bora matokeo ya mtihani wa kidato cha nne huku ikichuana vikali na shule binafsi katika matokeo ya kidato cha sita.
Kandokando mwa barabara hiyo kunapatikana majengo manne yaliyoishi zaidi ya miaka 100 ambayo yamekuwa kivutio kwa watalii wengi wanaotembelea jiji hilo.
Bosi huyo anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Dk Fidelice Mafumiko aliyeteuliwa kuwa Mkemia Mkuu wa Serikali.
Lilijengwa mwaka 1866 na Sultani Majid bin Said alilitumia kwa ajili ya makazi ya mahawara zake lakini sasa.linamilikiwa na shirika la Wamisionari wa Afrika.
Sasa watumiaji wa kompyuta wanaweza kuipakua na kuitumia kama programu tumishi (App) kucheza michezo (games).
Mwanzilishi mwenza na mmiliki wa mitandao hiyo Mark Zuckerberg amesema mabadiliko hayo yapo katika hatua za mwanzo za utekelezaji na kwamba huenda yakaanza kuonekana machoni mwa watu angalau mwaka 2020 au zaidi.
Kwa mujibu wa Utafiti wa hali ya huduma za kifedha Tanzania ujulikanao kama Finscope uliofanyika mwezi wa Aprili na Julai mwaka 2017, ukiachana na chakula na mavazi Watanzania hutumia zaidi fedha zao kwenye huduma za afya kwa asilimia 11 na kufuatiwa na e
TRA isimamie uwekaji wa mifumo hiyo na ifikapo februari 28, 2019 kila kiwanda kiwe kimefunga mfumo huo.
Hadi sasa ghorofa hilo lililokuwa likitumika kuwakirimu wageni wa Sultan lipo katikati ya jiji na huend siyo watu wengi wanalifahamu.
Watumiaji wapya hawawezi tena kupata fursa ya kujiunga na mtandao huo ili kutoa nafasi kwa kampuni ya Google kukamilisha mchakato wa kuufuta rasmi Aprili 2019.
Matumizi hayo yanachagiza ukuaji wa huduma na biashara mtandaoni kwa wajasiriamali nchini hasa katika kutangaza au kutoa huduma zao ili kuweza kuwafikia wateja wengi.
Infographics hii imeboreshwa leo Januari 26, 2019
Karibia nusu ya watahiniwa wake katika matokeo ya mwaka 2018 wamepata daraja la kwanza la alama saba.
Mikoa hiyo ni pamoja na Kagera, KIlimanjaro, Mwanza, Shinyanga, Kigoma haikotoka 10 bora tangu 2016 hadi 2018.
Ni wale wanaofanya biashara katika eneo la Kariakoo na maeneo ya jirani kwasababu itawapunguzia adha ya foleni na usafirishaji wa mizigo.