Ijue milima 10 mirefu zaidi Tanzania
Milima tisa kati ya 10 mirefu zaidi Tanzania inapatikana katika mikoa mitatu tu ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara
Milima tisa kati ya 10 mirefu zaidi Tanzania inapatikana katika mikoa mitatu tu ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara
Nchi 10 kati ya 18 yatakapofanyika maonyesho ni masoko makubwa ya utalii Tanzania.
Tanzania ina kuku wa kienyeji milioni 40.3 kati yao kuku hao milioni 1.75 sawa na asilimia nne wanazalishwa visiwani Zanzibar.
Multichoice Tanzania na Zuku zinaongeza idadi ya kampuni zilizopo katika hatihati ya kufutiwa leseni kuwa tatu baada ya TCRA kutangaza kusudio la kuifuta Star Times siku 12 zilizopita.
Sasa gharama za huduma za viburudisho na mizigo inayozidi kilogramu 23 zitajumuishwa katika tiketi.
Ni moja ya hifadhi chache duniani zenye sifa ya pekee ya kuwa na mbuga za wanyama zinazopakana na bahari.
Rais Magufuli ameridhia mapendekezo ya Wizara ya Maliasili na Utalii kuanzisha Hifadhi mpya ya Taifa ya Chato baada ya mapori matano ya akiba kupandishwa hadhi.
Elimu Yangu imelenga kuwasaidia wanafunzi, wazazi na walezi kujua ufaulu wa shule husika zikiwemo zile zilizopo kwenye 10 bora na mkiani.
Zaidi ya nusu ya wazazi wasema matokeo yenye ufaulu wa chini ya asilimia 51 ni “mazuri” na “mazuri sana”.
Ubalozi wasema kuanzia Mei 15 walinzi hawatahifadhi vifaa vya wageni hivyo ni marufuku kabisa kwenda na vifaa vya kielektroniki katika eneo hilo ikiwemo simu za mkononi.
Takwimu zinaonyesha kuwa Halmshauri ya Wilaya ya Mbarali haina uhaba wa maabara lakini baadhi ya shule zake zafeli vibaya masomo ya Sayansi.
Watakaofaulu mtihani huo wa Kidato cha Sita (ACSEE) watapata fursa ya kujiunga elimu ya juu katika vyuo vya kati na vyuo vikuu nchini.
Shule ya sekondari ya ufundi ya Iyunga imefanikiwa kuingia katika shule 100 vinara mara moja tangu mwaka 2012 ndani ya miaka sita iliyopita.
Ni moja ya Wahandisi vinara wanawake katika kampuni za simu Tanzania.
Anakuwa msanii wa kwanza nchini kuingia kandarasi ya ubalozi wa chapa ya Uber takribani miaka miwili tangu kampuni hiyo ilipoanza kutoa huduma zake jijini Dar es Salaam.
Maji yasomba Daraja la Merera lililopo kilomita moja kutoka kwenye lango la kuingilia katika hifadhi hiyo.
Ni Sylvia Mulinge atakayempokea mikoba Ian Ferrao kuanzia Juni mwaka huu.
Inadaiwa wakazi wengi wa vijijini wenye umeme huutumia tu kwa ajili ya matumizi ya msingi ya kuwasha taa, kupiga mziki na kuchajia simu.
Takriban nusu ya shule hizo king’ang’anizi kwenye orodha hiyo, ni za wasichana.
Kujituma, kujiamini na hamu ya kuongeza mtandao wa kujifunza na kufanya nao biashara ndiyo nguzo kwa kila mjasiriamali.