Ujenzi wa nyumba unaoweza kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi
Ni mtindo wa ujenzi wa nyumba unaoendana na athari za mabadiliko ya tabianchi ikiwemo upepo mkali, ongezeko la joto, mafuriko na baridi.
Ni mtindo wa ujenzi wa nyumba unaoendana na athari za mabadiliko ya tabianchi ikiwemo upepo mkali, ongezeko la joto, mafuriko na baridi.
Rais Samia Suluhu Hassan amewaongoza viongozi na wananchi kuipokea ndege aina ya De Havilland kutoka Canada ambapo sasa Serikali itakuwa na ndege tano za masafa mafupi.
Sun Dawu, bilionea maarufu wa China amehukumiwa kifungo cha miaka 18 jela na kutakiwa kulipa faini ya Dola za Marekani 480,000 (takriban Sh1.2 bilioni) kwa makosa ya uhalifu unaodaiwa kuchochea vurugu nchini humo.
Waziri wa Afya Dk Dorothy Gwajima aeleza kuwa hadi Julai 21, 2021 wagonjwa 682 walikuwa wakiugua maradhi hayo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewakumbusha na kuwasisitiza wananchi wa Tanzania waendelee kuchukua hatua za kujikinga na ugonjwa wa Corona (Uviko-19).
Baadhi ya wakulima wa Halmashauri ya mji wa Njombe wamesema hawana uhakika kama watafaidika na shughuli za kilimo msimu huu kutokana na kupanda kwa bei za pembejeo ikiwemo mbolea.
Bilionea Jeff Bezos hivi sasa anatarajia kwenda angani na chombo kilichotengenezwa na kampuni yake ya Blue Origin.
Ni chanjo yenye matoleo mawili dhidi ya virusi vya Corona.
Hakikisha unavaa vizuri na unaifua kila siku baada ya kuitumia.
Madaktari wasema kuna umuhimu kuongeza uelewa wa umma juu ya uhusiano kati ya unywaji pombe na hatari ya kupata saratani.
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema taarifa zinasambaa mtandaoni kuwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga imeelemewa na wagonjwa wa COVID-19 siyo za kweli.
Kisimiri imeshika nafasi ya kwanza kitaifa kama ilivyokuwa mwaka 2020
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetoa matokeo ya mitihani ya kidato cha ita na ualimu iliyofanyika Mei 2021.
Asilimia 88 ya nchi za Afrika zinatumia chanjo inayotolewa kupitia programu ya Umoja wa Mataifa ya COVAX.
Zimetolewa na Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) kwa ajili ya kusaidia wakulima wadogo zaidi ya 6,000 nchini Tanzania ambao wameathirika na janga la ugonjwa wa Corona pamoja na nzige wavamizi.
Mpaka sasa chanjo sita zimehizinishwa na Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO).
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ni sahihi kwa wajawazito kupatiwa chanjo ya Corona kwa maelekezo ya wataalam wa afya.
Tafiti zinaeleza kuwa kutumia kitakasa mikono au kunawa mikono kwa maji tiririka angalau mara 6 kwa siku kunapunguza hatari ya kupata COVID-19 kwa asilimia 36.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezindua Mpango wa tatu wa Maendeleo wa Taifa wa miaka mitano wenye dhima ya kujenga uchumi shindani na viwanda kwa maendeleo ya watu wa Tanzania.
Amesema akifanikiwa hilo, baadaye atashughulikia masuala mengine ya kisiasa ikiwemo mabadiliko ya katiba mpya na mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa Tanzania.