‘RevEye Search’: Programu inayoweza kukusaidia kupambana na uzushi wa Corona
Inapatikana kwenye kitafutio cha Google Chrome ili uweze kuitumia na kupata kiunganishi ( RevEye Image Search).
Inapatikana kwenye kitafutio cha Google Chrome ili uweze kuitumia na kupata kiunganishi ( RevEye Image Search).
Amesema Serikali haitasita kuwachukulia hatua kali za kisheria.
Itatumia ardhi ya JKT kuzalisha mbegu hizo ili kutosheleza mahitaji ya wakulima.
Kati ya shule 10 bora mwaka huu, nane zinatokea Kanda ya Ziwa.
Matokeo hayo yametangazwa leo Novemba 21, 2020 na tayari yameshapakiwa katika tovuti ya baraza hilo www.necta.go.tz.
Mtandao huo ukigindua taarifa ni ya uongo unazuia usisambazwe kwa watu
Katika kipindi hicho cha usimamizi kilichoanzia leo (Novemba 19, 2020), amesema benki hiyo itafungwa na haitatoa huduma yeyote kwa wateja mpaka pale BoT itakapotoa maelekezo.
Ni kuzingatia miongozo ya afya ikiwemo kuvaa barakoa na kunawa mikono kwa maji mara kwa mara.
Ni uteuzi wa kwanza kabisa katika baraza la mawaziri jipya katika kipindi cha muhula wa pili wa uongozi wake.
Ripoti ya mfumuko wa bei kwa mwaka ulioishia Oktoba 2020 inaeleza kuwa kasi ya kupanda kwa bei za bidhaa na huduma ilibaki asilimia 3.1 kama ilivyokuwa Septemba 2020.
Wawataka Watanzania kudumisha amani na utulivu wakati wakitimiza haki yao ya kikatiba ya kuwachagua viongozi watakaowaongoza kwa miaka mitano ijayo
Ni pamoja na kuvaa sale za chama na kutumia lugha chafu kwa wasimamizi wa uchaguzi.
App hiyo inawawezesha wanawake kuongea na wataalamu wa afya kuhusu masuala ya uzazi wakati wowote.
Ugumu huo unasababishwa na upepo mkali na kukauka kwa nyasi na vichaka.
Rais John Magufuli amesema fedha hizo zitatumika kuboresha huduma za jamii.
Utazinduliwa katika Wilaya za Masasi na Tandahimba mkoani Mwanza.
Zitasaidia kuboresha huduma za afya na elimu katika kaya masikini.
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema tatizo hilo la kiafya limesamba kila mahali duniani ambapo takriiban watu milioni 2.8 hufariki dunia kila mwaka kutokana na unene uliopitiliza.
Noti hiyo ina alama 11 za usalama ikiwemo ya mnyama Twiga na sura ya Hayati Mwalimu Julius Nyerere.
BoT yasema kiwango cha ukopeshaji kinatarajiwa kuongeza hadi asilimia 11.6 ifikapo Juni 2021.