Sababu ndege za Kenya kuruhusiwa kutua Tanzania
Ni baada ya Kenya kuondoa sharti la raia wa Tanzania kukaa karantini kwa siku 14 wanapoingia nchini humo.
Ni baada ya Kenya kuondoa sharti la raia wa Tanzania kukaa karantini kwa siku 14 wanapoingia nchini humo.
Ni Alain Cocq anayeugua ugonjwa usio na tiba nchini humo ambaye alitangaza uamuzi huo Jumamosi baada ya kuanza kukataa chakula na kumeza dawa.
Wageni wanaotoka nje ya Afrika Mashariki kulipa zaidi ya wazawa.
Ufaulu waongezeka kidogo kwa asilimia 0.03
Mfumuko huo wa bei umepanda hadi asilimia 3.3 mwaka ulioishia Julai 2020 kutoka asilimia 3.2 mwaka ulioishia Juni mwaka huu
Ni kanuni mpya za mwaka 2020 zinazuia baadhi ya maudhui kuchapishwa mtandaoni ikiwemo uchochezi na uzushi.
Bidhaa hizo hazifai kwa matumizi ya mwili na hazitibu Corona.
Amewasili majira ya saa 8 mchana saa za Afrika Mashariki akitokea Ubelgiji kupitia Addis Ababa, Ethiopia alikokuwa akipatiwa matibabu.
Ni kwa kutumia programu tumishi ya Twitonomy kujua tabia ya akunti ya Twitter unayotilia mashaka kuhusu Corona.
Atazikwa kijijini kwao Lupaso, Masasi mkoani Mtwara baada ya kuaga mwili kwa muda wa siku tatu katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam
Baadhi ya watu wamezusha kuwa Rais na Watanzania wamesheherekea kwa kucheza ngoma baada ya Corona kutokomezwa Tanzania
Amefariki dunia leo Jijini Dar es Salaam katika hospitali moja akiwa na umri wa miaka 81.
Umoja wa Mataifa (UN) umezushiwa kuwa umetangaza nchi tano ikiwemo Nigeraia zinazoongoza kwa rushwa wakati huu wa Corona.
Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) limesema ni kweli mboga za majani zinaongeza kinga lakini mboga mboga hizo hazitibu ugonjwa wa corona.
Utaweza kutafuta habari zilizothibitishwa za corona duniani kwa njia mbalimbali ikiwemo jina la chombo cha habari au lugha .
Hujulikana kama Joint Venture ambayo huunganisha kampuni mbili au zaidi ambazo zinakusanya nguvu zao kuwekeza katika miradi mikubwa.
Wanatakiwa kujiunga na mafunzo ya JKT yatakayoanza Agosti 1 mwaka huu.
Yazitaka nchi zingine za jumuiya hiyo kuongeza kasi ya maendeleo ili zifikie uchumi wa kati kama Tanzania.
Imewahakikishia wakulima kuwa itaendelea kununua mazao yao kwa ajili ya kuongeza hifadhi ya chakula nchini.
Ni mkoa wa Songwe ambao takriban shule saba kati ya 10 za mkoa huo hazina huduma ya maji.