Usidanganywe! Apple haigawi simu za iPhone bure
Kampuni hiyo ya Marekani imezushiwa kuwa inagawa bure simu aina ya iPhone kwa wanafunzi na wafanyakazi wakati huu wa ugonjwa wa Corona, siyo kweli.
Kampuni hiyo ya Marekani imezushiwa kuwa inagawa bure simu aina ya iPhone kwa wanafunzi na wafanyakazi wakati huu wa ugonjwa wa Corona, siyo kweli.
Shirika la Afya Duniani limesema fursa zote za ajira hutolewa na tovuti yake ya who.int na si vinginevyo.
Ujumbe huo unaosema watu wachague herufi ya kwanza ya jina ili mtu ajue atapata msaada wa pesa kiasi gani umetumika sehemu nyingi ulimwenguni.
Waziri wa afya Ummy Mwalimu amefunga kituo cha 74 kilichokuwepo hospitali ya Lulanzi mjini Kibaha kati ya 85 vilivyokuwepo nchini.
Mkopo huo utasaidia kutekeleza miradi mitatu ikiwemo ya maji katika mji wa Morogoro na usambazaji wa umeme vijijini katika mikoa 16.
Watahiniwa hao wameanza mitihani ya kitaifa leo na watamaliza Julai 16, 2020.
Ni wasichana wa shule za msingi na sekondari kutoka kaunti ya Machakos.
Hajajiuzulu katika kamati hiyo ili kulinda jina na heshima aliyopewa katika tuzo hiyo, kama ilivyoripotiwa na baadhi ya mitandao ya kijamii.
Baadhi ya wapotoshaji wamezusha kuwa Waafrika hawaruhusiwi kuingia barani humo mpaka wakubali kupata chanjo ya COVID-19.
Amesema anatafuta mshirika watakayesaidiana kuendesha programu hiyo tena.
Ameuza mawe mawili ya Tanzanite kwa Serikali yenye thamani ya Sh7.44 bilioni.
Mhariri wa gazeti hilo asema wanajadili hatua za kuchukua baada ya kufutiwa leseni.
Shirika la Afya Duniani (WHO) linaeleza kuwa Corona inasababishwa na kirusi aina ya COVID-19 na siyo bakteria kama inavyodhaniwa na kuelezwa na baadhi ya watu mtandaoni.
Shule hiyo itajengwa katika Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi maalum kwa wasichana.
Fahamu sheria zinazosimamia aina hiyo biashara, malengo na muda mtakaotumia katika ushirika huo.
Itasaidia kuokoa maisha ya watoto katika nchini maskini ikiwemo Tanzania.
Ni baada ya kupungua kwa ugonjwa wa virusi vya Corona Tanzania.
Sh10.48 trilioni sawa na theluthi moja zitaelekezwa katika kulipa deni la Serikali.
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema uvaaji wa muda unaweza kuwakera wengi ila hauna madhara kama inavyodaiwa.
Zimeshushwa kutoka asilimia 4.5 hadi asilimia 4 ili kuwapunguzia waajiri mzigo na gharama za uendeshaji.