Magufuli azungumzia msamaha wa madeni wa IMF
Amelishukuru shirika hilo kwa kutambua hatua za Serikali ilizochukua katika mapambano ya Corona na kuipatia Tanzania ahueni ya malipo ya madeni.
Amelishukuru shirika hilo kwa kutambua hatua za Serikali ilizochukua katika mapambano ya Corona na kuipatia Tanzania ahueni ya malipo ya madeni.
Matarajio hayo yapo juu kidogo kutoka ukuaji wa asilimia 4 uliokuwa ukitarajia awali kutokana na madhara ya corona.
Bajeti hiyo imekuwa ikiongezeka kila mwaka tangu mwaka wa fedha wa 2016/17.
amefariki dunia baada ya kukumbwa na shambulio la moyo ikiwa imesalia miezi miwili kabla ya kukabidhi madaraka kwa Rais mteule Evariste Ndayishimiye.
Ni kiongozi wa pili wa juu wa Chadema kushambuliwa na watu wasiojulikana wakati wakiwasili kwenye makazi yao.
Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga asema wataliachia soko liweze kuamua bei na Serikali kubaki kuwa msimamizi.
Hatua hiyo itaokoa Sh67 bilioni ambazo zimekuwa zikitumika kubadilisha na kununua nguzo za miti kila mwaka.
Zingatia sheria na kodi zinazosimamia aina hiyo ya biashara ili kuhakikisha haingii katika migogoro ya kisheria.
Mfuko huo wa Shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo (FAO) umetengewa dola za Marekani 174 milioni (Sh402.6 bilioni) kwa ajili ya miradi 24 ya kilimo na mazingira katika nchi 30 duniani.
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Nkasi yatakiwa kuwakamata watumishi watatu wa halmashauri hiyo kwa kula Sh27.6 milioni za makusanyo na kujikopesha bila ya kuziwasilisha benki.
Nchi hiyo imefungua milango leo kwa wasafiri kutoka Ulaya kutembelea nchi hiyo lakini baadhi ya nchi zimewaonya raia wake kusitisha safari za kimataifa.
Mtandao huo umetangaza hatua mpya ya kuifanya televisheni yake ya IGTV kuwa kibiashara zaidi (next stage of monetization for IGTV) ili watumiaji wapate fedha kupitia matangazo.
Puuza ujumbe unaozagaa kwenye mitandao ya kijamii ikidai Vodacom M-pesa inatoa Sh80,000 kwa wateja wake kwa ajili ya COVID-19.
Unatakiwa kuzifuata hatua zote nne ili uweze kufanikiwa kujua kama picha hiyo ilishawi chapishwa tena ama la.
Sheria hiyo maalumu kuhusu makosa ya ngono au kijinsia (Sexual Offences Special Provision Act) ya mwaka 1998 inatoa tafsiri halisi ya unyanyasaji wa kijinsia na adhabu zake.
Itasaidia kuyafikia masoko ya utalii ya kimataifa na kuongeza mapato ya Taifa.
Hatua hiyo imekuja siku chache tangu mtandao huo uzindue app ya Catchup inayowezesha simu za sauti kwenye makundi.
Serikali imesema mwenye nyumba anatakiwa kukurejeshea kiasi cha fedha ulizolipa na si vinginevyo.
Kampuni ya Tesla inayotengeneza magari ya umeme imesema itapunguza bei ya baadhi ya magari hayo ili kuvutiwa wateja wengi kwa sababu mahitaji yameanza kushuka kutokana na athari za janga la Corona.
Habari hizo zinadai kuwa bidhaa hizo ni kwa ajili ya matumizi ya wanafunzi ili kujikinga na ugonjwa wa Corona.