Facebook yaibuka na app nyingine kuwaunganisha watu mtandaoni
Ni app ya Catchup inayowezesha upigaji wa simu miongoni mwa marafiki walio tayari kuchati kwenye makundi ya mtandao huo.
Ni app ya Catchup inayowezesha upigaji wa simu miongoni mwa marafiki walio tayari kuchati kwenye makundi ya mtandao huo.
Serikali imesema imeweka mikakati madhubuti ikiwemo uanzishwaji wa sheria mpya ya uwekezaji kumaliza changamoto zinazowakabili wawekezaji wa zao la zabibu nchni Tanzania ikiwemo utitiri wa kodi.
Katika video ya uzushi wameweka neno “Rais Trump” na kutoka neno “Valet” ambalo ndiyo neno sahihi.
Kimsingi ujumbe uliowekwa katika picha hiyo hauna uhusiano wowote na watu kuandamana kupinga marufuku ya kutokutoka nje (lockdown) kwa sababu ya kujikinga na ugonjwa wa virusi vya Corona.
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imesema ipo tayari kuanza kupokea watalii wakati wowote kuanzia sasa huku ndege ya kwanza ya watalii itawasili mwishoni mwa mwezi Mei.
Watumishi waliosimamishwa kazi ni Mkurugenzi wa Huduma Saidizi, Hans Lyimo, Kaimu Mhasibu Mkuu, Jonas Bakuza na Lecian Mgeta aliyekuwa Mhasibu wa Wakala huo ambaye aliandika barua ya kuacha kazi Aprili 6, 2020.
Wanahabari wawili kutoka Kenya wanashikiriwa na mamlaka mkoani Arusha wakituhumiwa kuingia nchini na kufanya shughuli za uandishi bila kibali na muda wowote wiki hii watafikishwa mahakamani.
Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa amewataka wamiliki wa viwanda nchini Tanzania kuhakikisha wanakata bima ili pale wanapokumbwa na ajali za moto wapate wepesi wa kulipwa fidia za mali zao.
Rais wa nchi hiyo Uhuru Kenyatta amesema hatua hiyo inayoanza kutekelezwa usiku wa Mei 16 itasaidia kudhibiti maambukizi ya COVID-19.
Kasi ya ukuaji wa uchumi Tanzania inatarajiwa kukua kwa asilimia nne (4) mwaka 2020 kutokana na athari za ugonjwa wa Corona (COVID-19) kwenye sekta mbalimbali nchini, ikiwa ni matarajio ya chini ndani ya miaka ya hivi karibuni.
Chukua tahadhari ya kuthibitisha habari husika iwapo zimetoka katika tovuti hizo
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema mikopo kwa sekta binafsi imepungua kidogo ndani ya kipindi cha mwaka mmoja uliopita, licha ya sehemu kubwa ya mikopo hiyo kuelekezwa katika shughuli za watu binafsi na biashara.
Itakuwezesha kujua picha hiyo ilichapishwa kwa mara ya kwanza lini na tovuti au mtandao gani.
Imebainika pia kuwa akaunti ya Twitter na twiti inayodaiwa kuwa ni waziri Ummy vyote ni famba.
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kilimo na Chakula (FAO) limesema limefanikiwa kuokoa tani 720,000 za nafaka zinazotosheleza kulisha watu milioni 5 kwa mwaka mzima katika nchi 10 za ukanda wa Afrika Mashariki
Picha hiyo imetoa yanayodai kuwa ni maelekezo ya namna ya kujitibu vidonda hivyo ili kuepuka madhara zaidi.
Wakazi wa Mkoa wa Lindi leo Mei 8, 2020 wananunua gunia la kilo 100 la viazi mviringo takriban mara tatu ya wenzao wa Mkoa wa Rukwa, jambo linalowafaidisha zaidi wafanyabiashara na wakulima wa zao hilo.
Vyandarua 719,254 vinatarajiwa kugawiwa kwa wananchi wa Mkoa wa Rukwa ikiwa ni muendelezo wa kampeni ya kudhibiti na kutokomeza ugonjwa wa malaria nchini Tanzania.
Virusi vya ugonjwa wa corona (COVID-19) haviwezi kusambaa kupitia mawimbi ya redio au mfumo wowote wa mawasiliano ya simu.
Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa amesema hadi kufikia mwezi Machi 2020 wizara yake haikupata fedha zozote kwa ajili ya shughuli za maendeleo zilizotengwa katika bajeti ya mwaka huu wa fedha wa 2019/2020.