Zanzibar yaripoti kifo cha kwanza cha corona, wagonjwa wakiongezeka
Mgonjwa huyo alikuwa mkazi wa Kijichi, Zanzibar mwenye miaka 63 alifariki dunia Aprili 11 nyumbani na kuzikwa siku hiyo hiyo.
Mgonjwa huyo alikuwa mkazi wa Kijichi, Zanzibar mwenye miaka 63 alifariki dunia Aprili 11 nyumbani na kuzikwa siku hiyo hiyo.
Shirika la afya la Umoja wa Mataifa (WHO), linakusudia kuchapisha mwongozo wenye taarifa za kuwezesha nchi kuchukua hatua za kupunguza kuenea kwa ugonjwa wa virusi vya Corona (COVID-19)
Bohari Kuu ya Dawa (MSD) nchini Tanzania imetakiwa kuzingatia bajeti na kanuni za manunuzi baada ya kubaini ilifanya malipo ya takriban Sh1 bilioni kwa mzabuni bila kupata huduma inayohitajika.
Wagonjwa wengine 14 watangazwa leo na kufanya idadi ya walioambukizwa ugonjwa huo kufikia 46.
Waziri wa Afya wa Zanzibar, Hamad Rashid Mohamed ametangaza ongezeko la wagonjwa wapya wawili wa virusi vya Corona (#COVID19) na kufanya visiwa hivyo kuwa na wagonjwa tisa mpaka sasa.
Kitabu hicho kipya kitasaidia watoto kuelewa na kufahamu kwa kina ugonjwa wa virusi vya Corona (COVID-19) kitakachowasaidia kujikinga na janga hilo la dunia.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amebaini upungufu wa watumishi 9,691 katika taasisi za Serikali zikiwemo wizara tano, jambo linaathiri ufanisi wa kazi na kuwachosha watumishi wachache waliopo katika taasisi hizo.
Mgonjwa mwingine mmoja wa virusi vya Corona (Covid-19) amegundulika leo jijini Dar es Salaam na kuongeza idadi ya walioambukizwa ugonjwa huo Tanzania hadi 25 tangu ulipoingia nchini katikati ya Machi 2020.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amebaini taasisi tisa za Serikali ikiwemo Wizara ya Katiba na Sheria zilifanya jumla ya malipo ya Sh719.5 milioni bila kuidhinishwa na watu waliopewa mamlaka, jambo linaloweza kuwa chanz
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema kuwa wagonjwa wengine wawili waliokuwa na maambukizi ya ugonjwa virusi vya Corona wamepona na kufanya idadi ya waliopona kufikia watu watano mpaka sasa.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amesema Serikali itatekeleza kikamilifu masharti ya mkopo wa dola za Marekani 500 milioni uliotolewa na Benki ya Dunia ikiwemo kuwawezesha wasichana waliopata mimba wakiwa shuleni kuendelea n
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amesema kuna ongezeko la wagonjwa wengine wanne wa Corona kutoka Dar es Salaam, Mwanza na Zanzibar na kufanya idadi ya walioambukizwa ugonjwa huo kufikia 24 tangu ulipoingia nchini ka
Bei ya juu ya gunia la kilo 100 imeshuka kutoka Sh300,000 wiki iliyopita hadi Sh280,000 inayotumika leo jijiji Dar es Salaam.
Taarifa ya kampuni hiyo ya Marekani iliyotolewa Aprili 2, 2020 inaeleza kuwa mamlaka za afya zimeonya kuwa taarifa nyingi hasa zinazotolewa mtandaoni zinaweza kuwakanganya watu kupata miongozo sahihi kuhusu ugonjwa huo.
“
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Ashatu Kijaji, amesema hakuna ubadhirifu unaoendelea katika Shirika la Bima la Taifa (NIC) baada ya Serikali kuchukua hatua kadhaa ikiwemo kubadili uongozi wa Shirika hilo pamoja na kuimarisha mifumo yake ya ukusanyaji
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amethibitisha kuwa mgonjwa mwingine aliyekutwa na virusi vya Corona mkoani Kagera amepona na kufanya idadi ya waliopona kufikia watatu mpaka sasa.
Umoja wa Mataifa (UN) umesema uchumi wa dunia unaweza kushuka kwa asilimia 0.9 mwaka huu wa 2020 kutokana na janga la virusi vya Corona (COVID-19) ukichagizwa zaidi na kushuka kwa uzalishaji wa dunia na vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na baadhi ya nchi i
Idadi ya wagonjwa wa virusi vya corona nchini imezidi kuongezeka baada ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuthibitishaa mgonjwa mpya wa maambukizi ya virusi vya Corona na hivyo kufanya idadi ya wagonjwa nchini kufikia 20.
Watumiaji wa viazi mviringo hasa kutengeneza chipsi katika Mkoa wa Lindi na mji wa Mpanda katika Mkoa wa Katavi leo watalala na maumivu kutokana na bei ya jumla ya zao hilo kuuzwa mara nne zaidi ya bei inayotumika katika Mkoa wa Njombe.
Imetroa mkopo huo baada ya kuahirisha kufanya hivyo kwa mara kadhaa kutokana na suala la kuwarudisha shule watoto wa kike waliopata ujauzito baada ya kujifungua.