Corona yafuta mbio za mwenge wa uhuru Tanzania
Rais John Magufuli amesitisha mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2020 ikiwa ni tahadhari dhidi ya tishio la kusambaa kwa virusi vya Corona.
Rais John Magufuli amesitisha mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2020 ikiwa ni tahadhari dhidi ya tishio la kusambaa kwa virusi vya Corona.
Rais John Magufuli amemuagiza Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi kupunguza kutoa vibali kwa watumishi umma kusafiri nje ya nchi huku akiwashauri wananchi wapunguze safari na kuchukua tahadhari muhimu dhidi ya virusi vya corona.
Wakati ugonjwa wa virusi vya Corona (COVID-19) ukitangazwa kuwa ni janga la dunia kwa kuwa umesambaa duniani kote, mashirika ya Umoja wa Mataifa yametangaza mwongozo mpya wa kusaidia kulinda watoto na shule dhidi ya maambukizi ya virusi hivyo
Wakati vyombo vya habari Tanzania vikichangamkia fursa ya teknolojia katika shughuli zao, vimetakiwa kuongeza ubunifu katika uzalishaji na usambazaji wa habari zenye kutatua changamoto za wananchi na Taifa.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza mameneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) wa mikoa yote nchini wanapaswa kufanya ukaguzi wa mara kwa mara wa madaraja yote yaliyopo kwenye barabara kuu ili kujiridhisha ubora na usalama wake.
Ripoti ya mfumuko wa bei kwa mwaka ulioishia Februari 2020 inaeleza kuwa kasi ya kupanda kwa bei za bidhaa na huduma ilibaki asilimia 3.7 kama ilivyokuwa Januari.
Ni Mweka Hazina wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, Subilaga Kapange pamoja na maafisa wengine wawili kwa sababu wameshindwa kuwasilisha mapato serikalini ya kituo cha mabasi cha Korogwe.
Amemteua Gerald Kusaya aliyekuwa Mwenyekiti wa timu iliyoundwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuchunguza masuala mbalimbali katika tasnia ya zao la mkonge mkoa wa Tanga.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepiga marufuku shughuli zisizohusiana na taaluma ikiwemo ujenzi wa viwanda katika maeneo ya shule ili kutoa fursa kwa wanafunzi kuwa katika mazingira tulivu ya kujifunzia.
Asema jengo la kituo cha pamoja cha huduma ya forodha katika mpaka wa Tanzania na Kenya eneo la Horohoro mkoa wa Tanga limejengwa chini ya kiwango.
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Profesa Florens Luoga ameeleza sababu mbalimbali za benki hiyo kuchelewa kuanza kununua dhahabu kama sehemu ya hifadhi zake (gold reserve) ikiwemo kutokuwepo kwa viwanda vya kuongeza thamani madini hayo nchini.
Huenda leo ikawa ni tabasamu kwa wafanyabiashara wa maharage jijini Dar es Salaam baada ya zao hilo kuuzwa bei ya juu zaidi kuliko mazao mengine makuu ya chakula nchini Tanzania.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru mwandishi wa habari Erick Kabendera baada ya kulipa faini ya Sh250,000 kwa kosa la kukwepa kodi na Sh100 milioni kwa kosa la kutakatisha fedha, huku akiwashukuru wote waliokuwa pamoja naye katika kipindi kig
Thamani ya mauzo ya wiki nzima katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) imepanda zaidi ya mara 40 hadi Sh19.3 bilioni kutoka Sh472.5 milioni iliyorekodiwa juma lililopita
Mke wa aliyewahi kuwa mfanyabiashara maarufu Tanzania, Dk Reginald mengi, Jacqueline Ntuyabaliwe (K-Lynn) amesema Asema amechoka kuzuiwa na ndugu wa marehemu mume wake kuingia kwenye kaburi la baba wa watoto wake.
Umoja wa Mataifa (UN) umeipigia chepuo lugha ya Kiswahili kuwa ni miongoni mwa lugha inayozidi kupanuka kimatumizi duniani na kusaidia kueneza utamaduni wake.
Huenda leo isiwe siku njema kwa wawekezaji wa kampuni nne katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) ikiwemo benki ya CRDB baada ya thamani ya hisa za kampuni hizo kushuka kwa viwango tofauti ikilinganishwa na ilivyokuwa jana.
Asema kama Mkuu wa Mkoa huyo wa Dar es Salaam alichukua fedha za Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) wakati siyo masikini arudishe hizo fedha.
Imesema haina mpango wa kuwaondoa ama kuwasafirisha wanafunzi hao walioko mji wa Wuhan kwa kuwa wako katika uangalizi maalum (quarantine) nchini humo
Huenda wasafari wanaokwenda katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania wasilazimike tena kwenda kwenye ofisi za mabasi kukata tiketi,baada ya Chama Cha Wamiliki wa Mabasi (Taboa) kutangaza tenda ya kwa ajili ya kutengeza mfumo wa ukataji tiketi wa kielektron