Magufuli, TMA wazungumzia mafuriko Lindi
Yasema waepuke mazoea ya misimu ya mvua iliyozoeleka miaka ya nyuma ili kujikinga na athari zinazoweza kutokea.
Yasema waepuke mazoea ya misimu ya mvua iliyozoeleka miaka ya nyuma ili kujikinga na athari zinazoweza kutokea.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameuagiza uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) uwaandikie barua wapangaji wote wanaodaiwa kodi na shirika hilo zikiwemo taasisi za Serikali na wahakikishe zimelipwa ifikapo Mei 30, mwaka huu kabla
Shirika la Afya Duniani (WHO) limeonya kuwa ulimwengu unakabiliwa na uhaba wa vifaa maalum vya kufunika uso pamoja na vifaa vingine vya kujikinga na virusi vya Corona, jambo linaloweza kuzidi idadi ya vifo vya watu wanaoambukizwa ugonjwa huo.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina amesema kanzidata ya uvuvi (uvuvi database) iliyoanzishwa na wizara yake itawasaidia wavuvi wa Tanzania kuaminika na kukopesheka katika benki mbalimbali ili kupata mitaji ya kuendesha shughuli zao na kipato cha famil
WHO Imetoa ombi la dola za Marekani milioni 675 ili kuongeza nguvu juhudi za kimataifa za kukabiliana na mlipuko wa virusi vipya vya Corona wakati idadi ya vifo kutokana na homa hiyo ikikaribia watu 500.
Njia mojawapo ya kudhibiti matumizi makubwa ya intaneti ni kuweka kikomo cha matumizi yako ya mwezi kwenye simu yako.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amesema uchunguzi wa awali wa vifo vya watu 20 katika kongamano la Nabii na Mtume, Boniface Mwamposa mjini humo unaonyesha kuwa vimesababishwa na vibaka kuingilia na kuvuruga utaratibu wa ibada ya kukanyaga mafuta
Kufuatia mlipuko wa ugonjwa Corona nchini China, Serikali imewataka wazazi na walezi wenye watoto wanaosoma nchini humo ambao wapo Tanzania kwa likizo wasiwaruhusu kwenda hadi hapo Serikali itakapotangaza.
Shule ya Kipoke ya mkoani Mbeya imeporomoka kwa kasi kutoka nafasi ya 737 iliyoshika mwaka 2018 hadi nafasi ya mwisho kitaifa mwaka jana.
Waziri wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu amesema wanachukua hatua mbalimbali kukabiliana na tishio la virusi vya Corona ikiwemo kuandaa maeneo maalumu ya matibabu kwa wagonjwa endapo watajitokeza na kutoa mafunzo kwa watumishi wa sekta ya afya.
Rais John Magufuli amepokea hati za utambulisho mabalozi wateule tisa walioteuliwa kuziwakilisha nchi zao hapa nchini Tanzania wenye makazi yao nje ya nchi ili kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya uwekezaji, Angellah Kairuki amewataka wananchi kuthubutu na kutumia teknolojia ya kisasa kuwekeza katika maeneo yenye tija nchini Tanzania ili kujikwamua kiuchumi na kujiletea maendeleo.
Anakuwa waziri wa tatu kufurushwa na Rais Magufuli ndani ya miaka minne ya utawala wake katika wizara hiyo.
Mwenendo wa uzalishaji wa Konyagi na Chibuku kuna baadhi ya miaka mitano iliyopita, zilikuwa zinachuana katika kiwango cha uzalishaji.
Anakuwa Mtanzania wa kwanza kucheza ligi kuu ya Uingereza.
Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani (WFP) limezindua jukwaa la kidijitali la “HungerMapLIVE”, ambalo litakusanya takwimu muhimu kuhusu hali ya uhakika wa chakula katika nchi zaidi ya 90 duniani ikiwemo Tanzania.
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imefuta hati za usajili wa vyuo vikuu vishiriki vitano, vyuo vikuu vitatu na chuo kikuu kishiriki kimoja baada ya kujiridhisha kuwa vyuo hivyo havina uwezo wa kujiendesha hata vikipewa muda zaidi.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali inawataka watoto watoe taarifa za watu wanaotaka kuwakatisha masomo yao kwa viongozi wa vijiji waliopo kwenye maeneo yao ili hatua za kisheria zichukuliwe.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka watumishi wa umma Tanzania wajiimarishe katika ukusanyaji wa mapato na wahakikishe fedha zote zinazopatikana zinaingizwa kwenye mfuko wa Serikali ili zitumike kuwahudumia wananchi.
Shule ya kwanza Afrika ya mafunzo ya ndege zinazoruka bila rubani (Drone) na takwimu imefunguliwa Lilongwe, nchini Malawi ili kuchagiza programu za utoaji huduma za misaada barani Afrika hasa kwa watoto na vijana.