Tunayoyajua kuhusu shule 10 vinara kidato cha nne mwaka 2019
Jumla ya wanafunzi 870 walifanya mtihani kutoka kwenye shule hizo na kati ya wanafunzi hao 97 kati ya 100 walipata daraja la kwanza.
Jumla ya wanafunzi 870 walifanya mtihani kutoka kwenye shule hizo na kati ya wanafunzi hao 97 kati ya 100 walipata daraja la kwanza.
Imeingia kumi bora kwa shule zilizo na wanafunzi zaidi ya 40 kwa mara ya kwanza toka ilipoanzishwa.
Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) kutangaza matokeo ya mitihani wa kidato cha nne iliyofanyika Oktoba mwaka jana na kuonyesha kuwa asilimia 20.03 tu ya wanafunzi wote waliofanya mtihani wa somo la hisabati ndiyo wamefaulu.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amefuta mnada wa nafaka ulioendeshwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Januari 7, 2020 na kuuagiza uongozi wa mamlaka hiyo kutangaza upya zabuni baada ya kutoridhishwa na taratibu zilifanyika awali.
Katibu Mkuu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde, ametangaza matokeo ya upimaji kitaifa darasa la nne, kidato cha pili na nne ya mitihani iliyofanyika Novemba 2019.
Uzalishaji wa taka katika jiji hilo umeongezeka zaidi ya mara pili kati ya mwaka 1998 na 2017.
Bei za mafuta zimepanda kwa zaidi ya asilimia tatu kwenye soko la dunia baada ya Marekani kumuua kamanda wa ngazi ya juu wa jeshi la Iran, Jenerali Qasem Soleimani.
Tutamwaga habari za data zilizochambuliwa kwa kina na kwa lugha rahisi kuwasaidia vijana kubaini fursa na kutatua changamoto zinazowakabili.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Kilimo ihakikishe kuwa asilimia tatu ya wakulima wa zao la korosho ambao hawajapata fedha zao wahakikiwe na kulipwa.
Rais John Magufuli ametoa wito kwa Watanzania wengi zaidi kujitokeza kufuga wanyamapori katika bustani za wanyama (Zoo) ili kuongeza idadi ya wanyama hao na hivyo kupanua fursa za utalii na ajira.
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema kuwa ni marufuku kwa mtu au taasisi yoyote kufanya biashara ya kutoa huduma ndogo za fedha bila kuwa na leseni au usajili na adhabu kali itatolewa kwa atakayekiuka sheria.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amepiga marufuku wananchi kufyatua fataki bila kibali kutoka kwa Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro hasa katika mkesha wa sherehe za mwaka mpya.
Rais wa John Magufuli ametoa siku tano kuanzia leo kwa Waziri wa Maliasili na Utalii Dk Hamisi Kigwangalla na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Profesa Adolf Mkenda kuondoa tofauti zao vinginevyo atatengua uteuzi wao.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewaagiza wakuu wa mikoa nchini wahakikishe wanasimamia ipasavyo ujenzi wa vyumba vya madarasa vikamilike kwa wakati ili wanafunzi wote waliochagulia kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2020 waanze masomo kwa pamoja.
Umoja wa Mataifa (UN) yasema walioamuru mauaji hayo yatokee wakiwemo baadhi ya maafisa wa Saudi Arabia wameachwa bila kuchukuliwa hatua.
Ni siku ya mapumziko ambayo watu hutumia kupeana zawadi. Wengine hutumia kukamilisha matakwa ya kidini na mapumziko ya Kitaifa.
Yasema kinachohitajika ni uchunguzi huru ili kuhakikisha uwajibikaji kwa ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanywa katika kesi hiyo.
Rais John Magufuli amesema Serikali itaendelea kujenga mahakama katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania ili kuwapa uhuru wafanyabiashara na wawekezaji kuendesha shughuli zao na kuchochea maendeleo ya kiuchumi.
Thamani ya mauzo ya bidhaa na huduma za Tanzania zilizosafirishwa nje ya nchi kwa mwaka unaoishia Oktoba 2019 imeongezeka kwa asilimia 10.3 ikichagizwa zaidi na bidhaa zisizo za asili ikiwemo dhahabu.
Serikali ya Tanzania imewataka wadau wa sekta binafsi nchini kuendelea kutoa maoni na mapendekezo yao ya kitaalamu kuhusu rasimu ya Sheria ya Uwezeshaji Biashara inayolenga kuweka mazingira wezeshi yatakayochochea ukuaji wa biashara na uchumi nchini.