Kristalina Georgieva bosi mpya IMF
Georgieva mwenye umri wa miaka 66 anachukua nafasi ya mtangulizi wake mwanamama Christine Lagarde ambaye amemaliza muda wake.
Georgieva mwenye umri wa miaka 66 anachukua nafasi ya mtangulizi wake mwanamama Christine Lagarde ambaye amemaliza muda wake.
Rais John Magufuli amemteua Dk Leonard Chamriho ambaye ni Katibu Mkuu wa Uchukuzi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya ushauri wa uwekezaji wa mapato ya mafuta na gesi.
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imefungua dirisha la awamu ya nne ya udahili wa wanafunzi katika vyuo mbalimbali nchini ili kutoa nafasi kwa vyuo kukamilisha udahili na waombaji ambao mpaka sasa hawajapata nafasi katika vyuo hivyo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika uwekezaji, Angellah Kairuki amekitaka Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kuwafikia kikamilifu wawekezaji wazawa hususani waliopo mikoani ili kuwatambua na kuwaelimisha kuhusu fursa zinazotolewa na taasisi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka watendaji wa Serikali kuongeza kasi ya ukusanyaji mapato kwani ujenzi wa miradi ya maendeleo zikiwemo shule na hospitali haiwezi kutekelezwa bila mapato ya uhakika.
Zimetozwa faini hiyo baada ya kukiuka kanuni ya kuzuia utakatishaji fedha kwa kushindwa kuhakiki taarifa za utambulisho wa wateja wao na kuwasilisha taarifa ya miamala yenye mashaka.
Ndege ya Kampuni ya Auric Air imeanguka leo asubuhi katika uwanja mdogo wa ndege Seronera uliopo katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Rais John Magufuli amemuagiza Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania (DPP), Biswalo Mganga kwenda kuwasikiliza watuhumiwa wa makosa ya uhujumu uchumi waliopo rumande ili ambao wako tayari kutubu na kulipa fedha waweze kuachiwa huru.
Serikali imeiagiza Mamlaka ya Usajili wa Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ihakikishe wananchi hasa walioko vijijini wanapata angalau namba za utambulisho wa usajili wao kabla ya muda wa usajili wa laini za simu haujamalizika.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wakulima wa zao la pamba nchini wasikubali kuuza pamba yao chini ya bei elekezi ya Sh1,200 ikizingatiwa kuwa soko la uhakika la zao hilo lipo.
Ni Dk Steven Kebwe, afutwa kazi siku chache baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kufanya ziara mkoani humo.
Ni Mhandisi wa ujenzi wa wilaya ya Morogoro, Brown Undule baada ya kushindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo. Hatua hiyo inakuja siku moja baada ya Rais John Magufuli kutengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Malinyi.
Mwandishi huyo wa habari za uchunguzi, amesema kwa mara ya kwanza jana alifikishwa katika hospitali ya Rufaa ya Amana na kufanyiwa kipimo vya X-Ray kwenye mgongo na vipimo vya damu.
Ni Mhariri wa gazeti la Jamhuri, Godfrey Dilunga aliyefariki dunia akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo wakati anapatiwa matibabu.
Hiyo ni baada ya kukamilika kwa ukarabati wa magati nane kati ya 12. Kwa sasa bandari hiyo inabeba mizigo tani milioni 17 kwa mwaka.
Ndani ya miaka sita tangu kuanzishwa kwake, Patmos imekua kwa kasi kitaaluma kiasi cha kuzibwaga shule kongwe.
Njia hiyo itasaidia kukusanya takwimu za kijamii badala ya kutegemea data na mipango kutoka jumuiya za kimataifa.
Yawataka wadau watakaoshiriki uchaguzi huo kuzingatia sheria, kanuni, taratibu zilizowekwa. Watakaokiuka kuchukuliwa hatua za kisheria.
Serikali imesema itatoa nafasi ya kwanza ya ununuzi wa korosho msimu huu kwa wenye viwanda nchini ili kuongeza uzalishaji wa bidhaa zinazotokana na zao hilo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Maji ifuatilie utendaji wa mamlaka zilizopewa dhamana ya kusimamia miradi ya maji katika maeneo mbalimbali nchini na ihakikishe kwamba bili wanazotozwa wananchi zinakuwa na uhalisia na siyo kuwaumiza.